Kama siyo mkakati maalumu, basi Rais atangaze kuwa hana mpango wa kuongeza/kuongezewa muda

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Ukimya wake dhidi ya maandamano uchwara au maandamano ya kimkakati yanayoomba Rais aongezewe muda, yanaweza kutafasriwa kama mpango maalumu unaoratibiwa na Rais wetu akishirikiana na Chama cha mapinduzi.
kama siyo kweli basi Namuomba Rais Stoke hadharani na kutamka rasmi kuwa hana mapango Wa kuongeza muda Mara kipindi chake kitakapomalizika.

akifanya hivo mjuwe kweli hana huo mpango,

nawasilisha
 
Mtarban ni jambo jepesi, hata mtoto wa form one, anaona kuwa huyu hawezi kutoka madarakani. This is a full swing dictatorship! Katiba zitabadilishwa and all filthy things you can think of! Amin alianza hivi, Yahaya Jammeh alianza hivi, ..... time is a good teacher! Time will tell!
 
Hata lisu 2015 mwezi wa 2 alimwambia Jk kuwa anataka kuongeza muhula wa 3 .huko ni kujishtukia tu magu hawezi kupoteza muda kujibu ujings
 
Mtarban ni jambo jepesi, hata mtoto wa form one, anaona kuwa huyu hawezi kutoka madarakani. This is a full swing dictatorship! Katiba zitabadilishwa and all filthy things you can think of! Amin alianza hivi, Yahaya Jammeh alianza hivi, ..... time is a good teacher! Time will tell!

kweli kabisa, nimekuelewa mkuu
 
Ukimya wake dhidi ya maandamano uchwara au maandamano ya kimkakati yanayoomba Rais aongezewe muda, yanaweza kutafasriwa kama mpango maalumu unaoratibiwa na Rais wetu akishirikiana na Chama cha mapinduzi.
kama siyo kweli basi Namuomba Rais Stoke hadharani na kutamka rasmi kuwa hana mapango Wa kuongeza muda Mara kipindi chake kitakapomalizika.

akifanya hivo mjuwe kweli hana huo mpango,

nawasilisha
  1. mpango wa mungu huu, aongezewe muda.
  2. aendeleee tu, hapa kazi tu
 
  1. mpango wa mungu huu, aongezewe muda.
  2. aendeleee tu, hapa kazi tu

Ndio maana wenye akili tumepaona kuwa nyie wapiga kelele eti mnapendekeza mmetumwa na mko kimkakati, wajinga wakubwa nyie
 
Ukimya wake dhidi ya maandamano uchwara au maandamano ya kimkakati yanayoomba Rais aongezewe muda, yanaweza kutafasriwa kama mpango maalumu unaoratibiwa na Rais wetu akishirikiana na Chama cha mapinduzi.
kama siyo kweli basi Namuomba Rais Stoke hadharani na kutamka rasmi kuwa hana mapango Wa kuongeza muda Mara kipindi chake kitakapomalizika.

akifanya hivo mjuwe kweli hana huo mpango,

nawasilisha
Kama nchi ina watu wanafikiri ujinga kama wako..bora aongeze muda hadi ujinga wako utoke kichwani ufikirie mambo ya maana kwako na familia yako
 
Back
Top Bottom