Kama siyo mafisadi (Dar-Mbeya) Dar-Mwanza road ilitakiwa iwe hivi..

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,642
nintchdbpict0003665031561.jpg

Smart-Motorways-Safety.jpg
 
hizo ni barabara za mijini... sidhani kama na wao wanaunganisha mji na mji wenye km zaidi ya 200 kwa barabara za style hyo
Wewe unadhani. Hizo ni barabara za mji hadi mji.
M1......London-Leeds
M3...Southampton
M4...London-Wales
M40...London-Birmingham
M23-London-Brighton and Hove

Zipo kibao na zote ni njia tatu kwenda njia tatu kurudi hamna kusimama, unabadili njia au kuingia au kwenye highway kwa flyover
 
Uingereza ni ndogo sana mfano kutoka liverpool hadi manchedter ni 45 mins hivyo binafsi sioni ajabu
Mfano barabara za marekani ambazo zina urefu mkubwa ni za kawaida tu za kupitisha gari mbili kama zetu labda tofauti itakua ubora lakini sio muundo wake.

Wewe unadhani. Hizo ni barabara za mji hadi mji.
M1......London-Leeds
M3...Southampton
M4...London-Wales
M40...London-Birmingham
M23-London-Brighton and Hove

Zipo kibao na zote ni njia tatu kwenda njia tatu kurudi hamna kusimama, unabadili njia au kuingia au kwenye highway kwa flyover
 
Wewe unadhani. Hizo ni barabara za mji hadi mji.
M1......London-Leeds
M3...Southampton
M4...London-Wales
M40...London-Birmingham
M23-London-Brighton and Hove

Zipo kibao na zote ni njia tatu kwenda njia tatu kurudi hamna kusimama, unabadili njia au kuingia au kwenye highway kwa flyover
Qummer-maye wallah,sisi kuja kufikia hatua hizo no miaka 200 ijayo!
 
Back
Top Bottom