Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Kila jeshi hufanya maonyesho ila mara nyingi huonesha baadhi tu ya silaha.

Vingi wanaficha tu especially special forces
 
Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.

Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Marekani wana ndege za B52 bomber,zilitengenezwa mwaka 1972 zina perform vizuri sana Afghanistan
Silaha sio kama gari unasoma mwaka na kilometa,silaha ni mahitaji dada
 
Ingekuwa ubora na wingi wa silaha ndio tegemeo la kushinda vita!; Marekani angeshinda vietnam!
 
kagame pale alikuwa anatuchora tu,.sisemi kwamba Rwanda itatushinda, ila kwa siku hizi, zana hizo wameonyesha ni za mwisho kabisa kutumiwa kwenye battle, kama Rwanda wanazo zana za kisasa za drones toka Israel, hizo wanakupiga vizuri tu ukienda kichwakichwa, ndio walitaka wazitumie kipindi kile watuaibishe, na wangetupa surprise kwelikweli.

sisi pia, tunatakiwa kuwa na akili, Uturuki ambao kwa sasa ni marafiki zetu sana, wametengeneza drones bora sana za kivita ambazo unazituma tu kule zinateketeza askari, Armenia imeshindwa vita na Azerbaijan, Azerbaijan ilikuwa nchi iliyoonewa sana na armenia iliporwa hata maeneo, armenia ilikuwa mbali sana kivita kuwazidi, wakaingia na mavifaru, azerbaijan wakapewa msaana na uturuki wakatumia drones tu ambazo waturuki wanatengeneza, waliwatandika waamenia hadi wakanyosha mikono na wakarudisha maeneo yao yote yaliyokuwa yameporwa. ni juzi tu hivi.

kwa hiyo na sisi utachane na masilaha ya aina hii, tunaweza kua nayo machache tu ila mengine tutumie technolojia ya kisasa zaidi, sio kwamba tuacha haya ila tuangalie nchi za wenzetu wanatumia nini.

though, kwa sasa Tanzania haiihitaji hata kupoteza pesa kununua silaha kwasababu sidhani kama kuna adui mkubwa ambaye ni nchi ni threat kwetu, hata Rwanda kipindi cha JK walikuwa wanaoogopa mno kwasababu tungewapiga au wangetupiga (jambo ambalo ni gumu kwao), they could not stand to live with a monster besides their country for therest of their lives, wasingeweza kustahimili kuishi na adui pembeni yao miaka ya mbeleni, hasa kagame ambaye anajua tungeweza kuweka hata rais mwingine akitokea Tanzania kama tukitaka kama tulivyofanya kwa m7.waasi wake wangekuja tu hapa na kuanzia safari hapa.

Silaha yetu sisi ipo moyoni unaweza ukawa na vifaa vikubwa na bora lakn kama huna askari watiifu na ambao wana uchungu na nchi yao kamwe huwezi kushinda vita vita ni kutoka moyoni askari bora ni yule anayeishi na imani ya nchi yake moyoni hata kama mapungufu yapo ila imani na moyo vifaa ni vitendea kazi ishi ukiwa na imani ukifa hujawahi kuskia mlio wa risasi mshukuru Mungu umeiacha tanzania ikiwa salama pia iombee iendelee kuwa salama ambaye alishawahi kupatwa na madhila ya vita anajua kila la kheri nchi yangu ntakulinda mpaka kufa, Tanzania ningali mtoto mdgo nimepewa jukumu la kukulinda wewe naapa naahidi mbele ya Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa
 
Ingekuwa ubora na wingi wa silaha ndio tegemeo la kushinda vita!; Marekani angeshinda vietnam!
Marekani kasafiri kupeleka kiherehere Vietnam na akakutana na silaha za Mrusi. Hakuwa anajitetea hivo hakulazimika kutumia hata 10% ya uwezo wake kijeshi
 
Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.

Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Kwa mfano ulitegemea uone nini unacho kijua wewe !?
 
Vijana wengi wanaangalia movies zinawachanganya sana, hawajui mambo kwa ground ni tofauti kabisa.

Tanzania ni nchi ya Kijamaa, mambo yake mengi ni siri, hicho wanachoonyesha sicho kilichopo...

Kila Mwaka bajeti ya wizara ya Ulinzi na usalama inatengwa tena ya kutosha, umewahi kusikia wametangaza kununua hiki ama kile...

Ukiona umekaa sehemu unashushia bia na nyama choma tena kwa amani kabisa jua kuna wanaume hawalali huko.
Kwa taifa hili hapana we, tunajilinda ss wenyewe,,
 
Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.

Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Kati ya vitu vya kipuuzi vinavyo fanyika kwenye hizi sherehe ni haya maonyesho ya maaskari. Its wastage of time na kuonyesha madhaifu ya nchi. Kuna jipya gani watu kushuka kwenye helkopta na kamba? Au kuonyesha masilaha outdated?
Kama rais anataka kuona silaha si aende kwenye makambi? Hii tabia aliikuza mwenda kuzimu sijui kwa faida ya nani?
Ina julikana askari wa Tanzania wanacho jua ni kubambikia watu kesi na kutoa ushahidi wa uongo mahakamani.
 
Ulinzi ni pamoja na kuonesha uwezo ulionao. Kwa silaha zilizooneshwa kusema kweli ni hafifu. Zimepitwa ma wakati. Uganda na Kenya wana silaha bora kutuzidi.
We are weak compared to them.
Muulize Tramp kwa nini alimaindi kuwa sisi watz tunashirikiana na Kim wa North Korea kwa masilaha?.
 
kagame pale alikuwa anatuchora tu,.sisemi kwamba Rwanda itatushinda, ila kwa siku hizi, zana hizo wameonyesha ni za mwisho kabisa kutumiwa kwenye battle, kama Rwanda wanazo zana za kisasa za drones toka Israel, hizo wanakupiga vizuri tu ukienda kichwakichwa, ndio walitaka wazitumie kipindi kile watuaibishe, na wangetupa surprise kwelikweli.

sisi pia, tunatakiwa kuwa na akili, Uturuki ambao kwa sasa ni marafiki zetu sana, wametengeneza drones bora sana za kivita ambazo unazituma tu kule zinateketeza askari, Armenia imeshindwa vita na Azerbaijan, Azerbaijan ilikuwa nchi iliyoonewa sana na armenia iliporwa hata maeneo, armenia ilikuwa mbali sana kivita kuwazidi, wakaingia na mavifaru, azerbaijan wakapewa msaana na uturuki wakatumia drones tu ambazo waturuki wanatengeneza, waliwatandika waamenia hadi wakanyosha mikono na wakarudisha maeneo yao yote yaliyokuwa yameporwa. ni juzi tu hivi.

kwa hiyo na sisi utachane na masilaha ya aina hii, tunaweza kua nayo machache tu ila mengine tutumie technolojia ya kisasa zaidi, sio kwamba tuacha haya ila tuangalie nchi za wenzetu wanatumia nini.

though, kwa sasa Tanzania haiihitaji hata kupoteza pesa kununua silaha kwasababu sidhani kama kuna adui mkubwa ambaye ni nchi ni threat kwetu, hata Rwanda kipindi cha JK walikuwa wanaoogopa mno kwasababu tungewapiga au wangetupiga (jambo ambalo ni gumu kwao), they could not stand to live with a monster besides their country for therest of their lives, wasingeweza kustahimili kuishi na adui pembeni yao miaka ya mbeleni, hasa kagame ambaye anajua tungeweza kuweka hata rais mwingine akitokea Tanzania kama tukitaka kama tulivyofanya kwa m7.waasi wake wangekuja tu hapa na kuanzia safari ha

Kati ya vitu vya kipuuzi vinavyo fanyika kwenye hizi sherehe ni haya maonyesho ya maaskari. Its wastage of time na kuonyesha madhaifu ya nchi. Kuna jipya gani watu kushuka kwenye helkopta na kamba? Au kuonyesha masilaha outdated?
Kama rais anataka kuona silaha si aende kwenye makambi? Hii tabia aliikuza mwenda kuzimu sijui kwa faida ya nani?
Ina julikana askari wa Tanzania wanacho jua ni kubambikia watu kesi na kutoa ushahidi wa uongo mahakamani.
Onesha busara hata kama hukubaliani na kitu, unaongea as if kama una uwerewa na silaha kumbe ni hopeless. Military show off iko duniani kote sio Tanzania, kuhusu siraha outdated ni matangopori mnalishana hakuna mtu amkuja na pepa humu kuonesha kuwa tunameonesha siraha autdated. Maafisa sio wajinga harafu kuwa na akili basi kwenye uwanja wa medani hatugemei siraha tu bali morale, uhodari na ushapavu kwenye uwanja wa medani, rejea vita ya Kagera au vita ya Vietnam. Vijana mnatia kinyaa kujifanya kila kitu mnajua wakati hamjui siraha huwa zinaboreshwa na zingine zinazalishwa mpya. Kwa mfano rada nyingi kitambo zilizokuwa hazina uwezo ya kunasa wave za ndege zinazopita chinichini sasa hivi mifumo imebadilika. Sio lazima kila kitu uchangie mengine yaache yapite. Tujivunie nchi yetu kwenye makosa na mapungufu tuungane tuyasahihishe, kuikejeri nchi yako ni ujinga tu au elitism ya kishenzi tu
 
M23 wanaujua moto wa hizi vitu.
Kaka achana na wanaobeza wengi hawajui kitu kuwa jwtz kwenye uwanja wa medani ni hatari, wanashambulia kama mbogo, harafu kwenye kupiga mizinga tuko vizuri, hadi mwakiborwa aliwahi pewa medani ya mpiga mizinga bora
 
Mzee unadhani hatuoni display za nchi zingine!? Kama kitu cha ovyo tusiseme.
Silaha zilizooneshwa ni poor and outdated.
Jeshi linatakiwa kuwa modern. Waache kushupaza shingo na uswahili
 
Back
Top Bottom