Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,881
- 5,183
Ni usiku!
Tunaongea wale tunaoliona jua usiku wa manane.
Baada ya chupa kadhaa za Whiskey + Beer! Nimejikuta natamani kuongea. Tunajua msemo kuwa 'wherever there is wine, there is truth. Basi hapa mtu mzima nimekubali kushare nanyi watu wazima wenzangu.
Kama nikioa. Narudia kama nikioa, basi napenda nitakaye muoa moja ya sifa zake awe anajua kuimba. Yaani sio lazima awe mwanamuziki, ila awe anajua kuimba. Nimekuwa nasikilizi muziki pendwa wangu, nimejikuta ninamsikiliza mama Faya Tess, nikapata thibitisho la nafsi yangu, kuwa mwanamke anayeimba ni malaika. Hayo mengine ni ya ziada. Sipendi mdini[sababu mimi sina dini yoyote], awe HUMANIST tu. Yatosha. Mlokole kwangu marufuku.
Tunywe beer!