Kama si ujio wa wakoloni, uzao wa watu weusi ungekuwa ushafutika duniani (wiped out/ gone extinct)

Wazungu kila siku wanafikiri namna ya kuu abolish black race, wametumia mbinu nyingi lakini kwa nguvu za maanani tunadumu Hadi Sasa. Wametuletea magonjwa ya kutengenezwa maabara, wametuletea GMO foods, wametuletea Vita na mabalaa mengi lakini hatufi
 
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii

Sababu Kubwa Ni:

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa.

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali.

Uwezo Mdogo Wa Kuheshimiana.

Tungeuona Wote, Tungeliuliwa Na Wanyama wakali Na Kushindwa Pia Kudhibiti Majanga.

Case: Gods Must Be Crazy Film

=========================================
========================
Mkaruka chukua muda kusoma zaidi historia ya Afrika utafunuliwa mengi na kuelimika zaidi
 
Jamii Yenye Nguvu Kama ya Mtwa Mkwavinyika na The Great Samori Toure... Walikuwa na viwanda vya Mabunduki walikuwa na viwanda vya kutengeneza visu na mapanga... Walikuwa na Trade routes tishio wakifanya biashara uajemi na Europe hata far east! I didn't expect jamii hizi zingekuwa wapi Sasa maana nazungumzia mwaka 1800. Nimejifunza vitu kwa watu wawili humu ndani.... Kwanza our Economy were Strongly destructed eg. Ilicost about 11 years kumuangusha Samori Toure. Chapili Ni kuwa walijijenga wao na huku walitunyonya kwa muda mrefu.... Ohhh my God! Kama wangetuendeleza tungekuwa na beautifully city like Johaness burg kila sehemu especially kongo!
Wangetuacha tungekuwa na The greatest city like Timbuktu every where.
Mzungu katufelisha sana
 
Wanatengenez
Why ?

Hiyo Black Race ina tishio gani kwao mpaka iwe hivyo ?
Ukimwi ulitengenezwa ili kufuta kizazi cha watu weusi.
Bill Gates kila Siku anakuja na projects za GMO ili kuua kizazi cheusi. Kule Western Africa ametengeneza mbu ambao wakiwauma wanawake wanawasababishia ugumba
 
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii

Sababu Kubwa Ni:

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa.

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali.

Uwezo Mdogo Wa Kuheshimiana.

Tungeuona Wote, Tungeliuliwa Na Wanyama wakali Na Kushindwa Pia Kudhibiti Majanga.

Case: Gods Must Be Crazy Film

=========================================
========================
Hujajitambua bado.. Inasikitisha sana

Kwa kifupi watu weusi sio mzigo... Rudi shule ukasome vizuri, mambo mengi makubwa yamegunduliwa Afrika aljebra ni hesabu muhimu sans iligunduliwa pale... Sasa ukiangalia ujio wa wakoloni waliua kwanza viwanda vyetu enzi hizo pamoja na tamaduni zetu.. Na kutufanya tuwe kama WEWE ambae hutambui thamani yako.. Lakini sio kwamba tulikiwa hatuishi.. Tuliishi na hatukuwa na Ebola, Ukimwi, au Mashoga kama ilivyo sasa hivi.

Pamoja na yote kupita bado kuna waafrika wanafanya mambo makubwa duniani sema hawasifiwi saba waafrika wengi ni kama WEWE hawajikubali.. Mwafrika akifanya kitu utasikia mara ohhh.. Ameiga.. Hiyo ilisha fanyika blahblah kibao.. Mzungu akiiba idea ya the same thing utasikia wazungu waakili sana

Mfano2 hii jamii forum haina tofauti sana fb.. Lakini I bet kuna wabongo hawajui hata Maxence Melo ni nani.. Hata kwa waliosoma IT ni changamoto..

Kama kweli tunataka kushindana na dunia ni vyems tuanze kujikubali wenyewe.
 
Jamii Yenye Nguvu Kama ya Mtwa Mkwavinyika na The Great Samori Toure... Walikuwa na viwanda vya Mabunduki walikuwa na viwanda vya kutengeneza visu na mapanga... Walikuwa na Trade routes tishio wakifanya biashara uajemi na Europe hata far east! I didn't expect jamii hizi zingekuwa wapi Sasa maana nazungumzia mwaka 1800. Nimejifunza vitu kwa watu wawili humu ndani.... Kwanza our Economy were Strongly destructed eg. Ilicost about 11 years kumuangusha Samori Toure. Chapili Ni kuwa walijijenga wao na huku walitunyonya kwa muda mrefu.... Ohhh my God! Kama wangetuendeleza tungekuwa na beautifully city like Johaness burg kila sehemu especially kongo!
Wangetuacha tungekuwa na The greatest city like Timbuktu every where.
Nadhani Unazungumzia HandCraft Industries ??

If they were that powerful, wangekuwa wa kwanza kuwa-colonise wazungu. Hakuna jipya lolote
Mzungu katufelisha sana
I Knew It Before, The Black Man Mindset - THE BLAME GAME
 
Wanatengenez
Ukimwi ulitengenezwa ili kufuta kizazi cha watu weusi.
Bill Gates kila Siku anakuja na projects za GMO ili kuua kizazi cheusi. Kule Western Africa ametengeneza mbu ambao wakiwauma wanawake wanawasababishia ugumba
Na Ninyi Tengenezeni Counter-virus Au Chanjo Ya Kudhibiti Hao Virus.

Unatia Aibu, Yaani Bill Gates Mtu Mmoja Ndo Anaburuza Watu Weusi Wote ??
 
Nadhani Unazungumzia HandCraft Industries ??

If they were that powerful, wangekuwa wa kwanza kuwa-colonise wazungu. Hakuna jipya lolote
I Knew It Before, The Black Man Mindset - THE BLAME GAME
Walikuwa strongly ila mwenzetu alitutangulia kidogo... Hivi Murha ukipambana na Marekani hata sikutatu utaweza kweli?
Wenzetu 11 years anajibu mapigo... Kama mkwawa aliwashinda Mara nyingi zaidi ya walivyomshinda. Tumia akili Murha
 
Na Ninyi Tengenezeni Counter-virus Au Chanjo Ya Kudhibiti Hao Virus.

Unatia Aibu, Yaani Bill Gates Mtu Mmoja Ndo Anaburuza Watu Weusi Wote ??
Sijui Mimi na wewe nani katia aibu. Nadhani hujui kwamba rasilimali fedha ni muhimu sana kwenye tafiti, ugunduzi, utengenezaji na usambazaji wa kila kitu. Usipokuwa na rasilimali hiyo hata mkiwa wengi kama mchanga hamtaweza kufanya kitu
 
Kwa kifupi watu weusi sio mzigo... Rudi shule ukasome vizuri, mambo mengi makubwa yamegunduliwa Afrika aljebra ni hesabu muhimu sans iligunduliwa pale... Sasa ukiangalia ujio wa wakoloni waliua kwanza viwanda vyetu enzi hizo pamoja na tamaduni zetu.. Na kutufanya tuwe kama WEWE ambae hutambui thamani yako.. Lakini sio kwamba tulikiwa hatuishi.. Tuliishi na hatukuwa na Ebola, Ukimwi, au Mashoga kama ilivyo sasa hivi.
Mfano2 hii jamii forum haina tofauti sana fb.. Lakini I bet kuna wabongo hawajui hata Maxence Melo ni nani.. Hata kwa waliosoma IT ni changamoto..
JamiiForums inatumia software ya kizamani ambazo kiteknolojia ni outdated.
Ndio Maana Ukiangalia Quora, Fb na Reddit Ni Maboresho Ya Forums.
 
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii

Sababu Kubwa Ni:

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa.

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali.

Uwezo Mdogo Wa Kuheshimiana.

Tungeuona Wote, Tungeliuliwa Na Wanyama wakali Na Kushindwa Pia Kudhibiti Majanga.

Case: Gods Must Be Crazy Film

=========================================
========================
Kama unajua human evolution, binadamu mweusi amekuwepo duniani takriban miaka elfu 60 iliyopita amekwepana na majanga ya kila namna likiwepo la mafuriko ya noah, uyo mzungu kaja Africa miaka 400 iliyopita leo unasema bila mzungu muafrica asingekuwepo? 60,000 - 400= 59,600 ndo miaka muafrika amekuwa duniani bila mzungu unataka kutuambia miaka yote hakukuwa na milipuko ya magonjwa? Hakukuwa na wanyama wakali? Dinasours etc... Kumbuka kabla ya wakoloni kulikuwa na empires mbalimbali zilizotawala dunia, na kuna kipindi ndani ya miaka iyo 59,600 waafrica waliwatawala wazungu sema tu mzungu kaandika historia upya baada ya kipindi chake cha utawala na kuteketeza historia ya muafrica.
 
Wewe ndio mzigo, na wewe ndio ungetoweka kwenye uso wa dunia kama sio ujio wa wakoloni,

Nyie ndio wale mnao tamani kuzaliwa paka ulaya,
 
Fact
si kweli mkuu, kama sio Wakoloni ungekuta sasa hivi Africani nchi za viwanda, matajiri wakubwa, huu umasikini usingekuwepo...Hahahaa,

Ila seriously tusingefutika, mbona kuna makabila ambayo hayajafanya contact na watu wa nje na bado yana survive?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom