Kama si ujio wa wakoloni, uzao wa watu weusi ungekuwa ushafutika duniani (wiped out/ gone extinct)

si kweli.. unabidi usome vitabu vingi sana vya historia labda utapata uelevu kwamba wazungu ndio zaifu ndio maana walikuwa wanatumia watumwa wa kiafrika kuamini kuwa ndio hodari wenye nguvu na hawaugui hovyo, pia ukizingatia kwamba walikuta tawala za kichief ambazo walikuwa na imani thabiti pamoja na technolojia zao kama misri walivyotengeneza pyramid ambazo zimedumu mpaka leo na wazungu kujaribu kung'oa pua katika sanamu za pyramid ili kuondoa ushahidi kuwa ni mwafrika ndio alikuwa na technologia ile ambayo mpaka sasa hawajajua ilikuwa vipi, pia ukijaribu kusoma vizuri ni kwamba waliwakata mikono waafrika ambao walikuwa na technilojia ya kufua chuma,
 
JamiiForums inatumia software ya kizamani ambazo kiteknolojia ni outdated.
Ndio Maana Ukiangalia Quora, Fb na Reddit Ni Maboresho Ya Forums.
Hiyo software ya kizamani ambayo IPO outdated kiteknolojia inaitwaje mkuu?

Angalia hizo picha Facebook na Jf zimepishana miaka miwili tu yani ilitangulia Fb ikafuatia Jf...
Na kingine Jf umeanza kutumia una muda gani?

Maana wakongwe tunakumbuka tulipotoka...
Binafsi nimeona maboresho mixer hadi kutuma notification...

Africa tunaweza bhana... Sema wengi tuna inferiority complex..
IMG_20200112_142241_428.jpeg
IMG_20200112_142323_967.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20200112-141725.jpeg
    Screenshot_20200112-141725.jpeg
    54.1 KB · Views: 1
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii

Sababu Kubwa Ni:

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa.

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali.

Uwezo Mdogo Wa Kuheshimiana.

Tungeuona Wote, Tungeliuliwa Na Wanyama wakali Na Kushindwa Pia Kudhibiti Majanga.

Case: Gods Must Be Crazy Film

=========================================
========================

umejitahidi kuwaza kitu kizur sana, jaribu kufatilia kwa kina zaidi ulicho andika, pengine utapata idea tofauti tofauti

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
si kweli mkuu, kama sio Wakoloni ungekuta sasa hivi Africani nchi za viwanda, matajiri wakubwa, huu umasikini usingekuwepo...Hahahaa, natania

Ila seriously tungekuwa tunaishi maporini lakini tusingefutika, mbona kuna makabila ambayo hayajafanya contact na watu wa nje na bado yana survive?
Mapolini watu walishaanza kutoka kabla ya ujio wa ukoloni na kuanza ujenzi wa himaya zao mfano Milambo, Mkwawa, Melele nk. Walishaanza kufanya biashara na mataifa ya nje. Walitengeneza zana za chuma na nguo pia. Hivyo usidharau mtu mweusi ndugu.
 
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii

Sababu Kubwa Ni:

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa.

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali.

Uwezo Mdogo Wa Kuheshimiana.

Tungeuona Wote, Tungeliuliwa Na Wanyama wakali Na Kushindwa Pia Kudhibiti Majanga.

Case: Gods Must Be Crazy Film

=========================================
========================
wewe sisi hatukuumbiwa magonjwa ya ajabuajabu, malaria yetu inatibika na muarubaini tu, wao ndio wametuletea sijui denge mara mafua ya ndege, wameumbiwa matatizo hao usiwachukusiwachukulie poa.
 
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii

Sababu Kubwa Ni:

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa.

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali.

Uwezo Mdogo Wa Kuheshimiana.

Tungeuona Wote, Tungeliuliwa Na Wanyama wakali Na Kushindwa Pia Kudhibiti Majanga.

Case: Gods Must Be Crazy Film

=========================================
========================
duuu mwingine huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Mods mmeshindwa kabisa mtu akicomment au kuweka uzi kuandika na miaka yake?
Kizazi cha wapumbavu kinasumbua sasa hivi.
Otherwise we will cook you in the same pot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani waafrika tungefutika duniani... Wee umekula maharagwe ya wapi mbona unawaza ugoro namna hiyo?
 
Marian yako
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii

Sababu Kubwa Ni:

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa.

Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali.

Uwezo Mdogo Wa Kuheshimiana.

Tungeuona Wote, Tungeliuliwa Na Wanyama wakali Na Kushindwa Pia Kudhibiti Majanga.

Case: Gods Must Be Crazy Film

=========================================
========================
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom