Kama serikali inasema haina pesa chadema tangazeni matmezi ya hisani watu wachangie g | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama serikali inasema haina pesa chadema tangazeni matmezi ya hisani watu wachangie g

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kuthumiwa haule, Dec 31, 2010.

 1. k

  kuthumiwa haule Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na wizi ulikithiri serikalini katika kila idara bado serikali kupitia selina kombani bila hata aibu yoyote anasimama na kutuambia eti serikali haina pesa kwa ajili ya kugharamia uuandaaji wa katiba mpya , SASA MIMI NASEMA TUNAOMBA CHADEMA WATANGAZE MATEMBEZI YA HISANI NCHI NZIMA ILI KUTAFUTA PESA YA KUFADHILI UUANDAAJI WA KATIBA MPYA, TUSIKATISHWE TAMAA NA WATU KAMA KOMBANI , YEYE ANASHIBA KUTOKANA NA MFUMO ULIOPO BALI HANA HURUMA NA WAJUKUU ZAKE AMBAO MFUMO HUU HAUTA KUWA NA TIJA WALA MANUFAA YOYOTE KWAO,KAMA BAKORA ZA CCM TUMESHAPIGWA VYA KUTOSHA SASA TUKO TAYARI KWA MABADILIKO.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tunashukuru kwa ushauri, ila hata kama hizo hela ukikusanya mwisho wa siku utampa nani kama sio serikali ili ziweze kusaidia huo mchakato ?
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa nini chadema tu pekeyao. Hivi nyinyi watu wa JF mmelogwa na nani? Wasio wanachadema wanawaonaje? Nakule kusini mwa Tanzania, Zanzibar na sehemu nyingi ambapo chadema hawapo au hawana nguvu au hawana wanachama wamefikiriwa?
  This is very poor thinking in JF. Not everything is chadema. Mbona hamuelewi? nyie mkoje? au mna agenda gani? Sasa hivi naelekea kuamini yale maneno ya mchungaji mtikila kwenye jukwaa la wakristo.
   
Loading...