Kama serikali ina uwezo wa kununua ndege cash ina maanisha benki kuu inapesa za kigeni za kutosha

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Wazo nililo jiuliza baada ya kusumbuana kutuma Usd nje kwenye benki zetu za ndani .

Baada ya muhusika kukosa hizo pesa mda mrefu kuwa azijafika ikabidi kwenda kufatilia sana ni nini tatizo.

Walijichenga chenga ila mwisho wa siku nikaja kupata ukweli kuwa unapotaka kutuma pesa nje yenye thamani ya pesa za kigeni lazima benki kuu iwe na hiyo pesa kwa nchi inapokwenda.

kwa hiyo kuzinguliwa huku ni kutokana hizo sababu.

Sasa cash zinatoka wapi ukitegemea ni pesa nyingi kama benki kuu itapeleka pesa zote wakati mzunguko wake kwetu ni mdogo
 
Back
Top Bottom