Kama serikali imesuasua kwa hili basi ujue mpaka sasa huna serikali

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
Jamani wapendwa ndugu zangu wana jf napenda kuwasalimu habari zenu . Watanzania wenzangu, ndungu zangu nimesikitishwa sana na serikali yetu kitendo cha kukaa kimya bila kutatua swala la madactari ili warudi kazini wakatibu ndungu zetu. mpaka sasa mimi nahesabu sina serikali, leo nilikuwa mwaisela pale muhimbi siyo mchezo wagonjwa wanazidi kufa ambao ni ndungu zetu, wazazi wetu, dada zetu, kaka zetu, shangazi zetu, watanzania wenzetu .Serikali nini? Serikari iko wapi? Je serikali ni watu? Na kama ni watu waina gani? Siyo siri hapa wanaweza wasiwe watu , nahisi tunaongozwa na mashatani! Yanafurahia watu wanapokufa . Roho inaniuma sana ! Wewe uneyeunga serikari mkono your greater evil
 
Wengine wanajiita man of god yani wachungaji waisapoti serikali kwa kuthubutu kusema bora wauwaji wa albino kuliko madaktari wanaotetea haki zao sidhani kama daktari ambae hapati haki yake kama anaweza kumsikiliza mgonjwa na kumtibu zaidi atakuwa anawaza maslahi yake. Ni bora busara ikatumika zaidi kulikao mtu kukurupuka kujudge
 
Back
Top Bottom