Kama sera yetu ya mambo ya nje ni uchumi then tuelewane na Rwanda tusishindane

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Maoni tu, tuacheni politics we need Rwanda kiuchumi... Huuu mtaifa wetu jamani hatujajifunza na siasa zetu za ukombozi wa kusini mwa Afrika ambao haukuwa na tija na wananchi wa kawaida. Rwanda tuko pamoja sasa uchumi tu vi2 vingine havina nafasi. Tujenge reli....
 
Mimi sidhani kama tunashindana bali Rais wetu JK amemchokoza mwenywe Kagame na Rwanda yake....Huyo jamaa ni kichwa eti.....na anajua fika weknesses za JK...

I think we should let the guy do what he is sopposed to do for his country and for his people so long as watu wake wanamzimia, wanamkubali..!....Eti kwani shida yetu ni nini hasa?......Why don't we concetrate on our own problems, so many of them??

Uchumi kwako ni bora kuliko maisha ya mamilioni ya wa Congo wanaotaabika kwa vita vinavyosababishwa na mpuuzi kagame? Kama uchumi kwako ni bora kuliko utu, muuue mama Yako kichwa peleka Freemasons uwe milionea
 
Kitaturu

How many refugeese crosses border to kigoma every single day from Congo? And for sure we all knows that, it is because of kagame's involvement in eastern Congo. Think big Mzee

Maoni tu, tuacheni politics we need Rwanda kiuchumi... Huuu mtaifa wetu jamani hatujajifunza na siasa zetu za ukombozi wa kusini mwa Afrika ambao haukuwa na tija na wananchi wa kawaida. Rwanda tuko pamoja sasa uchumi tu vi2 vingine havina nafasi. Tujenge reli....

Yaani watutukane sisi tunyamaze tu eti kwa sababu ya uchumi? Rwanda na hasa Kagame anatakiwa kuwa na nidhamu na kuacha msuri wake. Pamoja na kwamba anafanya vizuri katika nyanja mbalimbali lakini ni msumbufu sana kwenye ukanda huu wa maziwa makuu. Yeye ndiye chanzo cha migogoro huko Mashariki ya Kongo kwa sababu za kiuchumi. Amekuwa akisponsor vita huko kuanzia akina Bizima Karaha hadi Laurent Nkunda na Bosco Ntaganda. Akiambiwa aongee na wenzake yeye anaanza kutukana!

Mkuu mashariki ya Kongo ikitulia itasaidia sana uchumi wa nchi yetu; usiiangalie Rwanda peke yake angalia na fursa zilizoko mashariki mwa Kongo ambazo tunazikosa kwa sababu ya vurugu zinazofadhiliwa na Rwanda.
 
Uchumi kwako ni bora kuliko maisha ya mamilioni ya wa Congo wanaotaabika kwa vita vinavyosababishwa na mpuuzi kagame? Kama uchumi kwako ni bora kuliko utu, muuue mama Yako kichwa peleka Freemasons uwe milionea

Makete
 
Kagame ni muuaji mkubwa sana,anaingia nchi za watu kwa mabavu,FDRL cyo wajinga wanajua wanacho kifanya na Kagame ameingiwa na uwoga,hata wanyarwanda ambao walikua M23 wamefukuzwa kwa kua wanahujumu.
 
>>Mkuu mashariki ya Kongo ikitulia itasaidia sana uchumi wa nchi yetu; usiiangalie Rwanda peke yake angalia na fursa zilizoko mashariki mwa Kongo ambazo tunazikosa kwa sababu ya vurugu zinazofadhiliwa na Rwanda.<<

hiyo hoja yako hapo juu umetia aibu..tuna almasi,dhahabu,gas,bandari,ma-mbuga ya wanyama na mavitu kibao sana, tumeshindwa kuvitumia kutuendeleza kiuchumi leo tuseme mashariki ya kongo ina fursa tunazikosa...shame on u
 
Back
Top Bottom