Kama Rais ndio anatoa vibali kutibiwa nje ya nchi, ndani ya miezi 6 zimetumika bil 17.1 - wametibiwa kina nani?

Temeni mate chini, msikejeli kuumwa kwa wenzenu mnakosea. Siku ukipatwa na shida wakat mfukon iko buku 5 kule Daktar anakwambia Mgonjwa anatakiwa aende Apollo gharama mil 43 ndio utajua kwanin gharama zimefika hizo. Tuache ujuaji ktk kila kitu mwisho wa siku tunaumia wanyonge.
Mkuu hiyo pesa ni nyingi mtu mmoja fanya mil 100 kwa hiyo 17 Billions wametibiwa watu wangapi? Hiyo si pesa ya kununua vifaa vya matibabu vya kisasa kabisa...
 
Kibali kimetolewa cha mtoto kwenda nje kupandikiziwa mimba ya mjukuu wa taifa. Sasa kwa mujibu wa mbunge msukuma mayai yalifanana ikabidi wanunue yai la hisp kumpandikizia mmoja kati ya wawili hao. Sasa hilo yai la kununua halitaleta mjukuu wa kichina/ghana/rwanda au kwingineko?
Tusisahau pesa ya walipakodi ishaidhinishwa na ishatumika tayari.
Hahahahaaaaa! Nimecheka sana, labda akazaliwa Mkurya
 
Kibali kimetolewa cha mtoto kwenda nje kupandikiziwa mimba ya mjukuu wa taifa. Sasa kwa mujibu wa mbunge msukuma mayai yalifanana ikabidi wanunue yai la hisp kumpandikizia mmoja kati ya wawili hao. Sasa hilo yai la kununua halitaleta mjukuu wa kichina/ghana/rwanda au kwingineko?
Tusisahau pesa ya walipakodi ishaidhinishwa na ishatumika tayari.
Kitanda hakizai haramu, akiwa mchina atakuwa anafanana na bibi mzaa babu wa shangazi yule wa Majita.
 
Temeni mate chini, msikejeli kuumwa kwa wenzenu mnakosea. Siku ukipatwa na shida wakat mfukon iko buku 5 kule Daktar anakwambia Mgonjwa anatakiwa aende Apollo gharama mil 43 ndio utajua kwanin gharama zimefika hizo. Tuache ujuaji ktk kila kitu mwisho wa siku tunaumia wanyonge.
Maiti tu inakataliwa kutoka muhimbili kisa deni la 700000 sembuse mimi mzima
 
Temeni mate chini, msikejeli kuumwa kwa wenzenu mnakosea. Siku ukipatwa na shida wakat mfukon iko buku 5 kule Daktar anakwambia Mgonjwa anatakiwa aende Apollo gharama mil 43 ndio utajua kwanin gharama zimefika hizo. Tuache ujuaji ktk kila kitu mwisho wa siku tunaumia wanyonge.
Mkuu uko nje ya mada
 
Hujaelewa hoja iliyopo mezani.
Soma tena ukiwa na sober mind.
Kama safari za kwenda kutibiwa nje zimedhibitiwa na kupungua, iweje matumizi yawe makubwa kuliko ilivyokuwa kipindi watu wanaenda kutibiwa nje kiholelaholela?
Hii ni awamu ya wapigaji.
 
Best kwani huyu mtoto wa jiwe AKA DAB anakaribia kuwa Baba wa kupandikizwa!?

Yaani ukishangaa ya firauni walahi utaona ya Musa,nami nimejiuliza kina nani wanaotibiwa nje wakati alikataza, ama yule mtoto wake aloenda kupandikiziwa mimba na huyu spika wetu ndo wamemaliza mabilioni yetu???Arghhh nchi inatia hasira hii haki ya nani
 
Temeni mate chini, msikejeli kuumwa kwa wenzenu mnakosea. Siku ukipatwa na shida wakat mfukon iko buku 5 kule Daktar anakwambia Mgonjwa anatakiwa aende Apollo gharama mil 43 ndio utajua kwanin gharama zimefika hizo. Tuache ujuaji ktk kila kitu mwisho wa siku tunaumia wanyonge.
unaulizwa wakina nani? wametibiwa kwa mkwanja huo, badala umwage orodha unaanza ooh siku ukiugua na hauna hata mia na inatakiwa 43m ndo utajua.

unajua kabisa wanyonge tunaumia ila bado hutaki tuhoji kina nani wamefikisha mabikioni yote hayo.
 
Back
Top Bottom