Kama mnategemea mkuu wa mkoa wa dar atatumbuliwa mtasubiri sana si leo wala kesho labda kesho kutwa, na hata kama itatokea itakuwa kwa kupangiwa kazi zingine ili kusubiri upepo upite.
Mnafikiri mkuu hajui Makonda kafoji vyeti, mnadhani kama mkuu wa mkoa wa Simiyu angeandaa sherehe ya kujipongeza angebaki salama.
Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CCM, alisikika akisema ningekuwa mimi zaidi ya nusu ningewapoteza, hakuwa anatania.
Mbinu zote mnazozishuhudia kupangwa na Makonda zina baraka kutoka juu. Mbinu ya kutumia madawa ya kulevya ni mojawapo ya njia ya kuwafikia walengwa ingawa haikuwa planned vizuri, tumeona walengwa wanavyosumbuliwa huku wahusika wakuu wa madawa hawaguswi.
Wiki moja kabla tulisikia rais akisifia kipindi cha SHILAWADU watu wakajiuliza kumbe hata mkuu anaangalia umbea. Lengo lilikuwa sio kusifia, alikuwa anajua kuna nini kitatokea, wenyewe mmeona kituko kilichofuata, ndio maana nasema mkuu anajua kila mkuu wa mkoa anachofanya hafanyi kwa bahati mbaya, tushukuru Mungu uelewa wa wapangaji ni mdogo ndio maana kila kitu kinafeli madhara yangekuwa makubwa.
Kama hamuamini angalieni leo wakati wa kuweka jiwe la msingi pale Ubungo mtanielewa.
Lakini sisi kama sisi tuendelee kugonga mlango kama tulivyofanya kwenye uchaguzi wa TLS, kuna siku kelele za mlango zitamsumbua atalazimika kufungua.
Lakini kama mkuu anamtumia Makonda kulipiza kisasi akichafuka Makonda nayeye ajiandae kuchafuka.