Kama Rais Kagame ni Shabiki wa Arsenal FC unadhani Rais Magufuli nje ya kuwa Mwana Simba SC huko Ulaya atakuwa ni Shabiki wa Timu gani?

Hahahahah acha hizo popoma, imepenya Nini?.....Hivi gent una familia? Hivi na watusi wenzio wako hivo?

Natafuta Mke vipi uko tayari kuwa Mke Wangu Mtarajiwa ili huu ' Mkuyenge / Mkurudungu ' wangu uliotukuka uwe wako? Mimi siyo Mtusi ni Mtutsi.
 
Natafuta Mke vipi uko tayari kuwa Mke Wangu Mtarajiwa ili huu ' Mkuyenge / Mkurudungu ' wangu uliotukuka uwe wako? Mimi siyo Mtusi ni Mtutsi.
Ok mtutsi, Hivi na watutsi wa Kule kwenu hua Ni wajinga wajinga Kama wewe mzee wa majivuno?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom