Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,382
- 7,815
Tukizungumzia kutoa haki tusiguse mahakama pekee! hili suala la mtu kwenda polisi ijumaa ikatokea muda wa kazi umepita mtu anaambiwa atalala ndani mpaka jumatatu linakosesha haki hasa kwa wasio na hatia!
Rais ameonyesha kuwa huu si muda wa mchezo mchezo ni muda wa hapa kazi tu iweje polisi waendeleze utamaduni wa kukwepa majukumu wikiendi?
Rais ameonyesha kuwa huu si muda wa mchezo mchezo ni muda wa hapa kazi tu iweje polisi waendeleze utamaduni wa kukwepa majukumu wikiendi?