Kama Prof Mnyaa karudi kwa mlango wa nyuma uwezekano wa Masha kurudi upo pia

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,231
1,470
Prof Mnyaa aligombea jimbo la Mkanyageni akashindwa na Mohamed Habib Mnyaa - CUF (jana alijitoa kuwania Unaibu Spika kumpisha mgombea wa CCM)

Hi ni hatari kweli hakuna watu wengine hadi wana recycle?
 
Hi ni hatari kweli hakuna watu wengine hadi wana recycle?

Sio kwamba hawapo mkuu, wapo ila sema mauvivu ya viongozi wetu kufikiri lakini pia kulipiana fadhili. Swala la Masha wa tulia sikilizia, kama haibuki leo we mpe mda kidogo utasikia kashatengenezewa mbeleko ya kumbeba tayari
 
Back
Top Bottom