Kama polisi wameua 10 kumlinda meya mmoja wangeua wangapi kumlinda JK. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama polisi wameua 10 kumlinda meya mmoja wangeua wangapi kumlinda JK.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quinine, Jan 9, 2011.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Hii imedhihirisha tamko la Shimbo kuwa polisi na JWTZ walikuwa tayari kumwaga damu nyingi za watanzania kumlinda Kikwete na utawala wake wabakie madarakani endapo kungekuwa na maandamano ya kupinga wizi wa kura kwenye uchaguzi uliopita.
   
 2. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wangeuwa kila mtu kumlinda Kikwete
   
 3. C

  Chief Rumanyika Senior Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini sio kwamba itakua kitu gharama sana kufanya hivyo?
   
 4. W

  Wifra Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asingebaki m2 hapo. ni wa ajab sn hawa jamaa..
   
Loading...