Maamuzi ya Waziri Mkuu kutoka Ikulu, badala ya kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu. Kama PM hana anuani, ofisi na msemaji, mawaziri wote ni geresha???.
Maamuzi mengi yanafanyika kwa maelekezo inawezekana hata aliyemtumbua ni "mtukufu " barua ingetokana ofisi ya PM ingejulikana au kitengo cha PM ni geresha. Ndo maana PM hana msemaji wala anuani.Hii nayo inaacha maswali mengi sana. Pascal Mayalla naye aliulizia kuhusu hili. Iweje tamko la Majaliwa lionekane kama linatoka ofisi ya Rais?
Huyu DG wa EWURA ni mteule wa Rais. Rais yuko nchini imekuwaje ashindwe kumtumbua hadi shughuli hiyo ifanywe na Majaliwa? KULIKONI?
Na rais yuko.mjini hapahapa. Iweje ampe PM atumbue. Hataki kuonekana kama yeye ndio.mtafuta KikiHii nayo inaacha maswali mengi sana. Pascal Mayalla naye aliulizia kuhusu hili. Iweje tamko la Majaliwa lionekane kama linatoka ofisi ya Rais?
Huyu DG wa EWURA ni mteule wa Rais. Rais yuko nchini imekuwaje ashindwe kumtumbua hadi shughuli hiyo ifanywe na Majaliwa? KULIKONI?
Na rais yuko.mjini hapahapa. Iweje ampe PM atumbue. Hataki kuonekana kama yeye ndio.mtafuta Kiki