Kama pesa za ESCROW zingetumika kwa miradi Kenya, tungekuwa wapi sisi

flyingcrane

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
241
88
Watanzania wenzetu wanalia pesa zao zimetiwa mitini na viongozi wao, swali nililojiuliza ni je ingekuwa serikali ya Kenya iko makini kula dili na kuleta fedha hizo Kenya au kula dili viongozi wa Tanzania wawezeke fedha zao Nairobi tungekuwa wapi.

Jiji la nairobi linahitaji kuwezekwa kwa njia yoyote ile.
 
flyingcrane

Zile pesa for your info ni za kampuni ya kufua umeme kinacholalamikiwa ni kwamba VAT (18%) na kodi zingine hazikulipwa. Kinachogombewa na kulalamikiwa ni hicho si kusema zote ni za Watanzania za watz ni kodi tu.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wenzetu wanalia pesa zao zimetiwa mitini na viongozi wao..swali nililojiuliza ni je ingekuwa serikali ya Kenya iko makini kula dili na kuleta fedha hizo Kenya au kula dili viongozi wa Tanzania wawezeke fedha zao Nairobi tungekuwa wapi.. Jiji la nairobi linahitaji kuwezekwa kwa njia yoyote ile

Wakati mna shida ya umeme mlikuwa hamfikirii hivyo.

Mlitaka umeme wa bure?
 
lawmaina78

Kwa lipi? usilolijua usiingie kichwa kichwa ni sawa na kujaribu kudandia gari kwa mbele. Fact is TANESSCO was supposed to pay IPTL lakini kwa sababu ya dispute pesa zikawekwa Bank, zilipokuwa zinalipwa kodi haikulipwa. Lakini wajinga kama wewe mnadhani pesa zote si za IPTL....acha kuingilia vitu usivyovijua.
 
Last edited by a moderator:
damn

Ni kweli,sisi tulitaka VAT na Re-calculation,hiyo ndio haki yetu.pia mkataba wao ni wa kifisadi.
 
Last edited by a moderator:
zile pesa for your info ni za kampuni ya kufua umeme....kinacholalamikiwa ni kwamba VAT (18%) na kodi zingine hazikulipwa. kinachogombewa na kulalamikiwa ni hicho si kusema zote ni za watz....za watz ni kodi tu.
damn ...it is not only VAT na Capital gain Tax
Kulikuwa na surplus iliyotokana na overcharging iliyoleta kesi iliyozaa Escrow account
 
Last edited by a moderator:
Inkoskaz

Surplus ipi wakati walikuwa hawakubali wapunguze ngapi katika malipo na madai hayakuwahi kufika hata mahakamani?
 
Last edited by a moderator:
damn

Hasa kama hazikuwa za watanzania y walizitoa bila mdai na mdaiwa kukubaliana? na je hata km ni hvyo kwn fedha hyo ilipaswa kukwapuliwa na watu. najiuliza swali km ikitokea tanesco wakashtakiwa c watz ndio tutailipa! tuwe wazalendo tuache kuwatetea wezi.
 
Last edited by a moderator:
surplus ipi wakati walikuwa hawakubali wapunguze ngapi katika malipo na madai hayakuwahi kufika hata mahakamani?

Ndugu usiwe mpotoshaji.
Kungekuwa hamna kesi kusingekuwa na escrow account.
Wakati kuna dispute inaendelea mahakamani ndio ikaamriwa ifunguliwe hiyo account ili Tanesco wasimplipe IPTL directly
You are purely Tanzanian halafu unadeny fact... what a shame.
 
zile pesa for your info ni za kampuni ya kufua umeme....kinacholalamikiwa ni kwamba VAT (18%) na kodi zingine hazikulipwa. kinachogombewa na kulalamikiwa ni hicho si kusema zote ni za watz....za watz ni kodi tu.

Wewe unaakili sana, brother ni moja kati ya watu ambao nawarespect kweli kwa kuacha siasa na kuwa wakweli
 
lawmaina78

Nijibu haya ili niamin ww unaelewa unachoandika hapa 1} Umeme ulizalishwa bure hakukuwa na harama?
2}Unajua hadi hukumu inatolea account ilikuwa na kiasi gani?
3} Nini maana ya capacity charges
 
Last edited by a moderator:
hasa kma hazikuwa za watz y walizitoa bila mdai na mdaiwa kukubaliana? na je hata km ni hvyo kwn fedha hyo ilipaswa kukwapuliwa na watu. najiuliza swali km ikitokea tanesco wakashtakiwa c watz ndio tutailipa! tuwe wazalendo tuache kuwatetea wezi.

Hehehe si unaona mulivo wavivu kusoma ule mkataba unatoa kinga kwa serikali malalamiko yote yatakayotokea ni ya IPTL sio serikali rudi tena ukasome ule mkataba
 
Back
Top Bottom