Kama pesa ni mapenzi basi kafuneg ndoa na bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama pesa ni mapenzi basi kafuneg ndoa na bank

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 10, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,171
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Pengine uko kweny e wimbi la matatizo ya mpenzi kisa mmoja wenu kuw ana hela zaidi usiteke
  mtafutie bank huyo mwambie akafunge anyo ndoa kula zako konaa acha kuteseka mapenzi ya pesa ayaishi mwenzangu haya
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  pesa cyo mapenzi ila kiungo cha kunogesha penzi!!
   
 3. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  acheni ubahili bwanaaa, mie mshahara wangu mbona unapitia kwa acaunt ya demu wangu Kailsh.......... Japo nae ananizingua, ila asipotumia pesa yeye akatumie nani sasa >? :hatari:
   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! NGOJA NIKOPROPOSE KWA BOT A.K.A LENDER OF LAST RESORT!!!! LOL! Longolongo Tupa Kule, tuacheni MASIKHARA! Pesa bwana ndio CATALYSIT ya mapenzi. Mambo gani ya ku do vigesti vya uchochoroni, taulo nyeusi, feni limekwama, maji yamo kwenye pipa? Mambo gani ya ku beepiana kila mkimisiana? Mambo gani ya kuumia roho kila mashosti zako wakikuonesha mizawadi waliyopewa na mipedeshee yao? Mambo gani ya kunywea bia nyumbani kwa mawazo? Mambo gani ya kushinda ndani weekend nzima, game kwa kwenda mbele coz hamuwez ku afford starehe zingine! Mambo gani ya kuwindow shop daily? HAPANAAAAAA! MY BOT I WILL LOVE YOU FOREVER, NA KIDUMU CHANGU CITY BANK!!!!! WAWEZA PITIA MAFUNZO HAYO YA KIJESHI N STILL UKAACHWA!!! HAPO NDO UNAPOAMUA KURUDISHA KADI KWA HIARI KWA SIR GOD!!! SUMU YA PANYA TARATIIIIIIBU!!!!! ILA HUKU BOT, SIKU UKIACHWA UNAHESABU MAPATO NA MATUMIZI YA MWAKA HUO WA FEDHA!!! LOL! NANI KANUNA!!!!!!
   
 5. p

  peter daudi Senior Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwa kwawida mapenzi ni;
  1.kutoa zawadi
  2.kumpendezesha umpendaye
  3.kusafiri kumfuata umpendaye na mengine mengi.Sasa kwa maisha ya siku hizi kipi kati ya haya machache unaweza fanya bila kutumia pesa? Kwa ujumla wake MAPENZI NI GHALAMA:A S 465:
   
 6. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Si unampaga Bao Moja!?
  Lazima Upunguze Machungu Kwa Kitita!
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,980
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm bora niende zangu kona bar...buku 40 napata raha bila kelele za shopping au zawadi
   
 8. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaa! Gharama ghali! Buku 40, kwa mwaka bei gani? Alafu uwe mtu wa kutwa mara 3
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,980
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mie sina mambo ya kutaka kummomoa demu...mie goli mbili kwa wiki mbili zanitosha so naweka kilo yangu kwa mwenzi for K. sina strss wala kuwaza kupitiwa mbavuni...am freee!!!
   
 10. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  pesa yangu lazima aitumie
   
 11. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,658
  Likes Received: 8,211
  Trophy Points: 280
  Ama kweli Pesa ina-run dunia.
  Itabidi Ali kiba aandae remix!!!
   
Loading...