Kama Obama anatumia basi, viongozi wetu wanashindwa nini kuachana BMW?

Nimefurahishwa sana na kiongozi na Raisi wa Marekani wa USA kutumia basi;

Mfano kwenye maonyesho wabunge au kiongozi wa nchi akitumia basi ataokoa shillingi ngapi

Basi la OBAMA ni Ghali Mara dufu zaidi ya hiyo BMW ya KIKWETE; that's a

PRESIDENTIAL LIMO CUSTOM MADE Hauwezi kuilinganisha na Vigari Vyovyote

Duniani. Kwahiyo, Usimwambia Rais wetu aende akapande V-Coaster; Unaona

Hilo BUS lina Presidential SEAL; Is called BUS FORCE ONE; A sleek and even

sinister looking set of wheels with blacked out windows worth US$1.1-million.

Bullet Proof all the way...
 
nimefurahishwa sana na kiongozi na raisi wa marekani wa usa kutumia basi;

mfano kwenye maonyesho wabunge au kiongozi wa nchi akitumia basi ataokoa shillingi ngapi

hoja yako inapotosha!!! hilo basi lina tv; kitanda; jiko; kila kitu cha starehe humo ndani

sio kama mabasi unaoyaona kwenye barabara za dar-arusha; dar-dodoma
 
siku hizi watu wanapost bila hata kuumiza vichwa sijui ni mashondano ya kuanzisha topic mpya?
 
Nimefurahishwa sana na kiongozi na Raisi wa Marekani wa USA kutumia basi;

Mfano kwenye maonyesho wabunge au kiongozi wa nchi akitumia basi ataokoa shillingi ngapi

luxury-bus-300x231.jpg
luxury-bus-interior-300x198.jpg



lakshmi-mittal-bus-interior-300x194.jpg
luxury-bus-inside-300x194.jpg



luxury-executive-bus-300x225.jpg
luxury-bus-images-300x225.jpg



HII NI MFANO MMOJA WA LUXURY BUS; HII NI DOUBLE DECK; Najaribu kukuonyesha

Utofauti wake na Mabasi ya Kawaida; Sasa ya Rais itakuwa ni ya Ajabu kama top celebrity like Beyonce au Will Smith

HAKUNA PESA YA KUOKOLEWA; Matumizi ni Makubwa Sana.....
 
Hivi wewe kwa akili yako unadhani Rais wa Marekani anatumia gari la kawaida...





 
dont guess be sure;

your wrong;:israel:


Haya kaka nimepata uhakika. Ina gharimu $1.1 million na source nakuwekea.
By Josh Gerstein, Politico


The Secret Service has revealed to Talking Points Memo that the government has purchased two armored buses for use by President Barack Obama and Republican candidates in the 2012 presidential campaign and beyond.


The agency initially declined to tell TPM whom the buses were bought from, but based on some searches of federal databases it looked to me like the seller was Hemphill Brothers Coach Co. of Whites Creek, Tenn. Last July, the Service signed a contract for nearly $2.2 million with the firm, according to a federal procurement database. (The entry doesn't specify the number of buses.)


"The contract you found is the contract," Secret Service spokesman Ed Donovan said Thursday morning. "It's two buses for $1.1 million each."


Source: New Buses for Obama's 'Tour' Cost Taxpayers Millions - President Obama - Fox Nation
 
Basi la OBAMA ni Ghali Mara dufu zaidi ya hiyo BMW ya KIKWETE; that's a

PRESIDENTIAL LIMO CUSTOM MADE Hauwezi kuilinganisha na Vigari Vyovyote

Duniani. Kwahiyo, Usimwambia Rais wetu aende akapande V-Coaster; Unaona

Hilo BUS lina Presidential SEAL; Is called BUS FORCE ONE; A sleek and even

sinister looking set of wheels with blacked out windows worth US$1.1-million.

Bullet Proof all the way...

Having a super-sophisticated vehicles, quickly and securely has become mandatory to be possessed by the President of the United States. One of them, sedan Cadillac One used by President Barack Obama. However, the vehicle was not the only only one who owned President Barack Obama. Because, in addition to Cadillac, is also a luxury bus Super bullet proof and bomb. As quoted Autoblog, Thursday, August 18, 2011, Bus is claimed to have specs similar to Cadillac One. Super Prevost bus was designed by a Canadian and an interior of the Hemphill Brothers Co. at a cost of 1.1 million U.S. dollars or Rp9, 3 billion. In Obama's visit to Minnesota for a trip to the Midwest, the first Black President of the superpower is using super berkelir black bus with the name of "Stagecoach". The bus was reportedly bulletproof, bomb attacks and even chemical substances. Inside the cabin available rooms and meeting rooms. But authorities are not willing to reveal specifics. Not only Cadillac sedan One used by President Barack Obama, but the Super Bus is also available. Super Bus is claimed to have specifications similar to Cadillac One. In Obama's visit to Minnesota for a trip to the Midwest, the first Black President of the superpower is using super berkelir black bus with the name of "Stagecoach". The bus was reportedly bulletproof, bomb attacks and even chemical substances. Inside the cabin available rooms and meeting rooms. Authorities would not reveal specifics. Super Prevost bus was designed by a Canadian and an interior of the Hemphill Brothers Co. at a cost of $ 1.1 million or USD 9.3 billion.


[h=1]President Barack Obama's $1.1M super bus debuts on Midwest tour[/h]
 
Usikurupuke, hili ni basi maalum kwa ajili ya kampeni, wala sio kwamba analitumia kwa safari zake za kikazi za kila siku!

Obama pia anatumia ndege ya jeshi kwa safari zake hali kadhalika rais wa Afrika kusini.

Waziri mkuu wa Uingereza anatumia British Airways, tena business class siyo first class. Rais Joyce Banda kauza ndege sisi na umaskini wetu tunakazania ndege ya rais
 
Wacha uongo, hilo basi unalijua bei yake? Kununua ni jambo moja na kumiliki ni jambo lingine (cost of ownership). Basi hilo linaweza kuwa bei lakini lisilinganishwe na gharama za msafara wa Rais wa TZ. wenye magari yasiyopungua 10 kila siku. Mafuta, tear and wear na malipo ya maafisa wasindikizaji
 
sina maana basi km hili;

Hila tuna weza kupata basi la kawaida ambalo linaendana na Kiongozi wa kiafrika.

Tusijilinganishe ila tuige kupunguza Cost. na misafara isiyokuwa na kwa kuwa na basi toka CHINA
 
Kaka usikulupuke- Lile basi ni kwaajili ya kampaini tu lina cost $1.1million. Hapo ni kama zaid ya mashangingi sijui mangapi... we piga hesabu.
 
Back
Top Bottom