Kama niwewe ungefanyaje?umpendaye ndugu wawili wanapinga.

Fazul

Member
Apr 2, 2012
82
9
kuna binti tunapendana sana na tunapanga kuwa pamoja maishani ila shida ni dadangu 1 na kakangu 1 wana pinga,lakin ndugu zangu wengine hawana pingamiz,kaka ana kataa kwa kuwa:1 uyo msichana amepashwa tohara 2.kabila letu na lao ni maadui.dada hatoi sabab.
 
Wewe una tatizo na hayo mambo mawili? Kama huna tatizo Wewe oa, kwani we si ni mwanamme? Unapangiwa wa kuoa na ndugu kwani ni wao watakuwepo kwenye ndoa?

kuna binti tunapendana sana na tunapanga kuwa pamoja maishani ila shida ni dadangu 1 na kakangu 1 wana pinga,lakin ndugu zangu wengine hawana pingamiz,kaka ana kataa kwa kuwa:1 uyo msichana amepashwa tohara 2.kabila letu na lao ni maadui.dada hatoi sabab.
 
mkuu hivi kaka yako na dada yako wanakunyima kuitendea haki nafsi yako?
 
though ni vema kusikiliza ushauri lakini uamzi ni wako cause huyo atakuwa mke wako na sio mke wao.
 
Cha msingi ni sababu. Kama kungekua na sababu za msingi hapo sawa ila kwa hizo sababu mbili hazina mashiko. Unaweza kuoa tu
 
Chibolo
acha mzaha,nakwambia 2mapendana na ata nikiamua kufwata kakangu nitajiumiza alafu uyo binti nimekua nae kwa mda nina hakika atafanya kitu kitakacho nitia mawenge maisha yangu yote.ebu tafakari mathalan ajiue kisa ni mimi!ntaishi kwa amani kweli?
 
dadako ana bifu nae huenda walishachukuliana mabwana
na huyo kakako alijuaje mdada wa watu kafyekwa kisimi au sijaelewa hapa?
 
mkuu hivi kaka yako na dada yako wanakunyima kuitendea haki nafsi yako?
Nimaoni nilitaka kwa wenye busara katika mambo haya kwani cmadogo apa kuna family na bibi,mana binti nimemuahidi ndoa.
 
dadako ana bifu nae huenda walishachukuliana mabwana
na huyo kakako alijuaje mdada wa watu kafyekwa kisimi au sijaelewa hapa?[/QUOTE
Wote hawajawahi kumwona uyo bint,ila nimaelezo niliwapa!hawamjui,weng wa kabila lake hutahiri madem
 
sasa na wewe hayo yote ulisema ya nini? yaani unakaa na kaka yako na dada unawapa story za mpenzi wake tena za huko chini sasa ulimwambia kaka yako mpezi wako ametahiriwa ili iweje? Kaunga na Kongosho njooni msaidie huku jameni
 
Last edited by a moderator:
unamuoa wewe au kaka yakomna dada yako?

Utaenda kuishi nae wewe au kaka yako na dada yako?

Uroda utakula wewe au kaka yako na dada yako?

Watoto utazaa nae wewe au kaka yako na dada yako?

Maisha unayoishi ni yako wewe au hi ya kaka yako na dada yako?
 
sasa na wewe hayo yote ulisema ya nini? yaani unakaa na kaka yako na dada unawapa story za mpenzi wake tena za huko chini sasa ulimwambia kaka yako mpezi wako ametahiriwa ili iweje? Kaunga na Kongosho njooni msaidie huku jameni

Kwakweli hata nami ninatatizwa sana na hilo, unamsimulia genital features za mpenzi wako kaka yako? Kina Asprin na The Boss njoeni mtuambie ndivyo wanaume mnakuwaga?
 
Last edited by a moderator:
Nimaoni nilitaka kwa wenye busara katika mambo haya kwani cmadogo apa kuna family na bibi,mana binti nimemuahidi ndoa.

Kwa hiyo inakutesa kwa kuwa umeahidi ndoa,na sio kwa sababu unampenda.....Ndoa si zawadi mkuu.....ni Love and Commitment.

Kuhusu hayo mengine,mimi sikuelewi wewe....hivi jamani,mwanamume anaoa ili kufurahisha familia yake???au imeandikwa kwamba ataacha wazazi wake na ataambatana na mkewe,na hao si wawili tena bali mwili mmoja!!!!!ACHA UBOYA,OA MKE MKAJENGE MAMBO YENU.....HAKUNA CHA KAKA,DADA,BABA,BIBI,BABU....Ndoa ilishabarikiwa na Mungu.BELIEVE ME,NDOA NI TAKATIFU,WANAOKUPINGA WOOOTE,WATAKUA WANAPINGANA NA MUNGU,SO HIYO BATTLE SI YAKO,NI WAO NA MUNGU TU!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom