Kama ningekuwa Rais wa Jamhuri...

Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
4,130
4,610
Ningekuwa mzalendo kumzidi Jembe.

Watoto wangu wote wangesoma shule ya serikali ya "kata" kuanzia msingi mpaka chuo kikuu.

Watumishi wote wa umma kuanzia Makamu wangu na wengine wote ingekuwa lazima kusomesha watoto wao katika shule za Serikali.

Yes!!. Mimi ndio ningekuwa mhimili uliojichimbia chini zaidi, then bila shaka ningekuwa mwenyekiti wa chama.

Ningetoa maelekezo kwa wabunge pia, ningewaambia wasomeshe watoto wao shule za kata ili wanisaidie kutambua changamoto za elimu katika majimbo yao "kwa ukaribu zaidi".

Ningewataka wabunge waibane Serikali yangu kuhalikisha huduma zote za kitaaluma na miundombinu vinapatikana kwa kiwango cha juu.

Mbunge ambae angekaidi wakati mimi ni mwenyekiti angepoteza uanachama na mnajua ukipoteza uanachama nini kinafuata kama wewe ni mbunge kulingana na Katiba.

Hayo yote ningeweza kuyafanya kirahisi sana kwa nguvu ambayo ningeipata kupitia Katiba yangu hii sababu hakuna ambae angenibishia na wangenipigia meza pale mjengoni mbaka viganja vingekuwa vyekundu.

Sheria ingepita nakuanzia hapo shule za kata zingekuwa kama za wamisionari.

Usiseme isingewezekana, ingekua amri.
Halafu mngeita mpango wangu huo jina lolote kama udikteta nk.

Maendeleo yasingekuwa na chama.
 
jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
11,615
20,844

Wabunge na wakuu wote wa serikali chama na taasisi zake..mishahara yao ijulikane na ikatwe kodi.

Pia teuzi zote lazima kuwe na usaili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
4,130
4,610
Izi Ni ndoto za abunuwasi kupata viongozi wa dizain iyo

Tungekuwa na hofu ya Mungu tungeweza kumpata kiongozi kama huyo.

Binadamu sisi dhambi ya ubaguzi itatumaliza wote, hakuna atakae baki salama.
 
Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
4,130
4,610
Yes, hapo ndio angalau kungekuwa na usawa wanao uhubiri kilasiku.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom