Kama Ningekuwa na Pakwenda ningeSHIT kazi ya Ualimu wa Sekondari.

Godwishes

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
640
165
Wakuu,kesho ni Sikukuu ya Wafanyakazi,bad enough walimu wa Sumbawanga Manispaa hawajapata Mshahara.Hii halmashauri cjui ina nini?Sijui kwa sababu iko mbali na Dar?Walimu huku wanalazimishwa kufungua akaunti za NMB,vingnevyo haupati mshahara!Hivi kuna mwalim huwa anafurahia kuwa Professional yake?Kulia kulia kulia mpaka Yesu arudi.NAIC NILIKOSEA NJIA KUWA MWALIMU
 
Wakuu,kesho ni Sikukuu ya Wafanyakazi,bad enough walimu wa Sumbawanga Manispaa hawajapata Mshahara,na kawaida tumezoea kupata ki salary th.39 wakati Waraka unadai th.25.Hii halmashauri cjui ina nini?Sijui kwa sababu iko mbali na Tanzania?Nadhani iko Tanganyika.Walimu huku wanalazimishwa kufungua akaunti za NMB,vingnevyo haupati mshahara!Hivi kuna mwalim huwa anafurahia kuwa Professional yake?Kulia kulia kulia mpaka Yesu arudi.NAIC NILIKOSEA NJIA KUWA MWALIMU
 
Niliacha ualimu zamani kidogo, ila nimeurudia. Ukiujulia namna yake mbona uko poa tu? Tena Sumbawanga mzee! Ukiamua unaweza kuwa milionea within 3 years!

Ushauri wangu: Jiunge na SACCO yeyote iliyoimarika huko uliko then Ni PM
 
Try 2 apply for further studies in other sector like vyuo vya mifugo, thn ukimaliza hama fani utakula mema ya nchi
 
Na kuwa na akaunti NMB ni kitu cha kawaida kwa wafanyikazi wa serikali za mitaa, hakuna cha ajabu hapo!
 
Wakuu,kesho ni Sikukuu ya
Wafanyakazi,bad enough walimu wa Sumbawanga Manispaa hawajapata
Mshahara.Hii halmashauri cjui ina nini?Sijui kwa sababu iko mbali na
Dar?Walimu huku wanalazimishwa kufungua akaunti za NMB,vingnevyo haupati
mshahara!Hivi kuna mwalim huwa anafurahia kuwa Professional yake?Kulia
kulia kulia mpaka Yesu arudi.NAIC NILIKOSEA NJIA KUWA MWALIMU

Huku dsm mkuu 2ligoma mpaka wakakubali kupokea account from any bank hata hivyo kamshahara haka bado.
 
Back
Top Bottom