Kama ningekuwa Askofu Kakobe ningetamka haya maneno kwenye mapokezi ya ndege ya 2 aina ya Airbus JNIA.

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
46,881
122,124
Hakuna jambo jema kama kuwa mzalendo wa kweli katika nchi yako, Askofu Kakobe kaonesha Uzalendo wa kweli na kutambua juhudi za Rais Magufuli katika kufufua Shirika la ndege nchini.

Tunapaswa kuwa wazalendo kama Kakobe ili tuweze kupiga hatua katika maendeleo ya nchi yetu.

Wakati Kakobe akipokea Ndege pamoja na Rais, Wazalendo wengine waliamua kuendelea na mpango wa kuandamana kupongeza juhudi za ufumbuzi wa Kikokotoo uliotolea na Rais siku za hivi karibuni.

Kwa uzalendo wa Kakobe aliouonesha, kama ningekuwa mimi haya maneno yangekuwa miongoni mwa maneno ya hotuba yangu.
Rais Magufuli ni msikivu, muelewa, anapenda kushauriwa hasa katika mambo ya maslahi mapana ya Taifa, hata nilipomshauri atubu, alitubu na akawaomba watanzania wamuombee hadi kapata ujasiri wa kuthubutu kufanya mambo makubwa yaliyoshindikana kama ununuzi wa Ndege, na leo tumeipokea Ndege ya 6 ya Airbus

Hongera Kakobe wewe ni mtanzania halisi kutoka mwisho wa reli(Ujiji-Kigoma)
 
Uvccm leo kakobe kawa Raia ninyi wapumbavu ata shetani anawashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askofu Kakobe kaungana Na Ask Gwajima kuunga Mkono juhudi Za Rais wetu Mpendwa

Kila la Kheir , tunajivunia Rais Magufuli
 
Mimi nitakuwa wa mwisho aisee kuunga hizo juhudi za Rais
 
Kichaa ni kichaa tu hata avishwe suti ya thamani kubwa Mkuu.
Anakusanya vichaa kimtindo
It's so sad kuona akina Kakobe waliokuwa wanamsimanga kwenye majukwaa Leo anamsifia kushinda Malaika Gabriel.
Makanisa ya kusali si ya hawa wenye dini fake
****Mtasisista hata/mpaka lini! Ujumbe umfikie Kakobe amsalimie na Gwajima (wote wababaishaji)
 
Back
Top Bottom