Kama ningekuwa Askofu Kakobe ningetamka haya maneno kwenye mapokezi ya ndege ya 2 aina ya Airbus JNIA.

..Gazeti la Mwananchi limemnukuu JPM akisema hivi baada ya kushauriwa na Askofu Kakobe akutane na wapinzani.

" Huwezi kukutana na mtu anayekwambia akikushika atakukata halafu ukutane naye kumbe ndiyo siku yako ya kuchinjwa hivyo ni bora umeache akae mwenyewe huko "

Huu ndio usikivu wa JPM anaposhauriwa
 
Lumumba hawajaielewa Luka 6:26.
hapo ndipo Kakobe amekabdamiza mengine ni mbwembwe kwani huwezi kuitwa na mtu kwenye hafla ukamtusi au kumkosesha amani...lkn ametuma ujumbe wa tafakuri kwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kakobe hajaunga mkono kivile, alieusha jiwe zito Luka 6:36 zingine mbwembwe
Anakusanya vichaa kimtindo
It's so sad kuona akina Kakobe waliokuwa wanamsimanga kwenye majukwaa Leo anamsifia kushinda Malaika Gabriel.
Makanisa ya kusali si ya hawa wenye dini fake
****Mtasisista hata/mpaka lini! Ujumbe umfikie Kakobe amsalimie na Gwajima (wote wababaishaji)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa Pakawa Gwajima na Kakobe wote ni matapeli wamewapata wapumbavu wa kuwatapeli ili kuongeza utajiri wao.

Back
Top Bottom