Kama ningejua shemeji yupo hivi nsingeruhusu Dada yangu aolewe naye. Nataka nivunje ndoa yao.

Aisee miaka yote hiyo umeshindwa kujua akufukuzaye hakuambii toka??

Hapo unatakiwa uondoke sio uendelee kukaa hapo

Unalilia kula vizur na hela za kueleweka kwa dada yako familia yako umeijua inakulaje??

Kakae na familia yako hata kijijini hata ukajikita na kilimo sio cha biashara walau cha kukuwezesha kupata mlo wewe pamoja na familia yako

Pole sana, pata akili ya kupambana sasa
Madame habari " ukiwa free naomba unichek pm " nina shida inanitatiza kiasi
 
Kuna siku watakulana mbele ya macho yako, jiongeze mkuu! Sio kila aliekuja mjini kutafuta maisha alifikia kwa mtu.
 
NICHOME MAHINDI ? JARIBU KUWA SERIOUS. mimi si mtu wa kuchoma mahindi mabichi. Hata siku moja siwezi fikia hatua hiyo. Nichome mahindi?hata dunia inanishangaa
Kama unalijua hilo ondoka kwa watu sasa nenda kajitegemee
Wewe siyo wa kuchoma mahindi wakati unakula ugali wa kupangiwa. Hujielewi mkuu unajifanya kizito wakati huna lolote.
 
Mbona nmesema nyumba nlijenga wanaishi wazaz na wife mkoani. Huyu sister ni mimi nmemsomesha hadi kamaliza IFM. Bila mimi asingesoma hapo. Anyway yote heri tu
Kama ulimsomesha na bado anakufanyia hivo tena dadaako wa damu bas huyo dadaako ni MPUMBAVU namba moja hana shukuran
 
Ahahahahahhahahaahhahaaahhahaahahahaa, yani nimecheka mpaka tumbo linaniuma hii stori inachekesha na kuuzunisha kwa kweli sasa na wewe ndevu kubwaa hata ujiongezi unakaa kwa shemeji mpaka umri huo jiongeze bhana
 
Naandika kwa majonzi sana.toka jana usiku sijaweza kulala kutokana na yale yanayoendelea hapa home.

Mimi nina miaka 42 nliwahi kuwa na kazi lakini toka mwaka 2016 sipo kazini sababu nlisingiziwa nina cheti feki.

Nikairudisha familia kwao nami nikarudi mkoani lakini mwaka huo huo mwezi wa 9 nlipata sehemu ya kuja kufanya interview hapa dar sister akanambia nifikie kwake basi nikaja sikufanikiwa kupata ile kazi.

Lakini nikaendelea kukaa hapa kwa sister mpaka leo sikujua shemeji ana roho mbaya kama shetani mara ya kwanza ilikuwa poa lakini baadaye akaanza kunifanyia visa.

Mara tukiwa tunaangalia tv sebuleni anaanza kumtomasa tomasa sister na sometime anamshika makalio mbele yangu kabisa sister anacheka tu kama fala sijui kamroga?

Kama vile haitoshi shemeji kamshawishi sister wamwondoe msichana wa kazi.hivyo mi nalazimika kuingia jikoni kupika chakula changu wao wakirudi wanakula huko huko maana wote wanaenda kazini.

Hebu imagine mimi ndo nawafungulia geti wakirudi wanapiga horn nikafungue geti kuna siku sikwenda wakarudi huko huko na kwenda kulala hotel ijumaa mpaka jumapili.

Nlikaa na njaa siku mbili zote toka siku hiyo siwezi kugoma kwenda kufungua geti shemeji ameficha remote za tv na decoder. Ameniwekea tu TBC so nikiwasha tv nakutana tu na chanel hiyo na mbaya decoder haina pa kubadilishia kwa mkono.

Nimejikuta naangalia vipindi vyooote vya tbc maana sina la kufanya nami nmekuwa home hapa naandika barua za kuomba kazi juzi juzi nmeomba nauli kwa sister ya kwenda posta kanipa tsh 800. Yaani hii si akili ya sister kabisa itakuwa ni akili ya shemeji roho mbaya.

Niliumia sana mtu mzima napewa nauli kamili?nikawaza labda nichomoe deki yao nikauze ila roho ya imani ikanijia sasa wananunua unga na maharage wanacha hapo eti ndo nipike nile wali na nyama ni mpaka wawepo wao weekend.

Huyu shemeji ni roho mbaya sana tena hana ubinadamu kabisa ndo maana hata hawajapata mtoto mpaka leo hii sister naye kawa kama zezeta anamsikiliza sana mumewe.

Jana asubuh ndo wamenikwaza sana sister katoka chumbani wanakimbizana na shemu huku yeye anasema hataki amechoka atarudi kwao maana yeye shem anataka sana kumla atamkondesha bure shem katoka na boxer yake imeloana mbele sister amejifunga tu kanga kama watoto wanakimbizana.

Hawajali nipo sebuleni hata heshima hawana nimesikitika sana shemeji roho mbaya sana huyu ngeweza mshauri sister aachane naye maana nmeshachoka naye kwa kweli.
Yani mtu na mkewe wasitomasane nyumbani kwao kisa eti wewe upo!! kwani we ndio nani???
 
Ahahahahahhahahaahhahaaahhahaahahahaa, yani nimecheka mpaka tumbo linaniuma hii stori inachekesha na kuuzunisha kwa kweli sasa na wewe ndevu kubwaa hata ujiongezi unakaa kwa shemeji mpaka umri huo jiongeze bhana
42yrs of age analilia asione dada yake anashughulikiwa? si ahame yy!!
 
Aisee miaka yote hiyo umeshindwa kujua akufukuzaye hakuambii toka??

Hapo unatakiwa uondoke sio uendelee kukaa hapo

Unalilia kula vizur na hela za kueleweka kwa dada yako familia yako umeijua inakulaje??

Kakae na familia yako hata kijijini hata ukajikita na kilimo sio cha biashara walau cha kukuwezesha kupata mlo wewe pamoja na familia yako

Pole sana, pata akili ya kupambana sasa
Dah unatoa ushaur wa maan kam kweli vile dah ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom