Kama ningefilisika na kuanza Upya tena; Ningetafuta Mtandao Mzuri wa Network Market n


Mwana Ilala

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Messages
1,287
Likes
254
Points
180
Mwana Ilala

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2013
1,287 254 180
Bill Gates aliwahi kutoa Kauli kama hiyo.

Ninaomba Mchango wenu wa Mawazo. Hapa Bongo ni Biashara gani ya Network Marketing ambayo Iko serious na inafanya vizuri!? Na Pindi Mtu anapojiunga basi mafanikio huanza kuonekana?

Natafuta network Marketing ambayo iko strong Niweze kujoin ili niweze kukuza na kuongeza kipato pia.

Tafadhali kama ww ni memba wa Network Marketing yoyote tafadhali, nijuze faida ambazo nitapata pindi nikiwa kwenye Mtandao wako.

Wengi hunena kuwa "Ugumu wa Network marketing Ugumu wake ni pale unapoenda kumshawishi Mtu mwingine Kujiunga. Ni kweli!?

Tafadhali naomba uelewa wako kuhusiana na Biashara ya Mtandao/Network Marketing.
 

Forum statistics

Threads 1,252,234
Members 482,048
Posts 29,801,315