Kama ni zamu ya Zanzibar basi ni balozi Seif Idd

Anaweza kuwa ni mtu makini sana lakini kwa vile yupo ndani ya dimbwi kubwa la kila aina ya uchafu CCM, ni vigumu sana kutenda tofauti na wachafu wanavyotaka. Kuna watu wengi tu kama wangekuwa kwenye chama chenye dhamira nzuri wangekuwa na mchango mkubwa kwa jamii lakini kwa kuwa ndani ya CCM hakuna wanachoweza kufanya. CCM ni syndicate ya uovu huwezi ukawa ndani mle ukaleta mabadiliko yoyote ambayo waovu hawayataki.

Kwa sasa mtu hawezi kukaa kwenye chama kichafu kama CCM, na ukasema wewe ni mtu makini. Tunaoifahamu CCM vizuri, tunafahamu kinachowaunganisha, ni uovu wa kila mmoja.
 
Kama Kikwete alivyoondoka Chalinze kwenye ubunge akamkabidhi mwanae Ridhiwani, au marehemu Mgimwa mola alipomwondoa mkampa mwanae, au kama mlivyompa Amani Karume nafasi ya Baba yake Shekhe Abeid?

Unafikiri CCM ni kama chadema anaondoka baba mkwe anamkabidhi mkazia mwana?
 
Kama Kikwete alivyoondoka Chalinze kwenye ubunge akamkabidhi mwanae Ridhiwani, au marehemu Mgimwa mola alipomwondoa mkampa mwanae, au kama mlivyompa Amani Karume nafasi ya Baba yake Shekhe Abeid?

Chalinze hazikupigwa kura? hamkuweka mgombea? mkapata 10%

Kwa Mgimwa hazikupigwa kura? hamkuweka mgombea? mkapata 20%

Zanzibar hazikupigwa? hamkuweka mgombea? CUF wakapata 49%

Jiulize Mzee Mtei alipomwachia Mkwewe alishindana na nani kwenye kura?

Hapo sasa!
 
Anaweza kuwa ni mtu makini sana lakini kwa vile yupo ndani ya dimbwi kubwa la kila aina ya uchafu CCM, ni vigumu sana kutenda tofauti na wachafu wanavyotaka. Kuna watu wengi tu kama wangekuwa kwenye chama chenye dhamira nzuri wangekuwa na mchango mkubwa kwa jamii lakini kwa kuwa ndani ya CCM hakuna wanachoweza kufanya. CCM ni syndicate ya uovu huwezi ukawa ndani mle ukaleta mabadiliko yoyote ambayo waovu hawayataki.

Kwa sasa mtu hawezi kukaa kwenye chama kichafu kama CCM, na ukasema wewe ni mtu makini. Tunaoifahamu CCM vizuri, tunafahamu kinachowaunganisha, ni uovu wa kila mmoja.

CDM muovu ni mbowe kaka yako peke ake?
 
Kupiga kura pekee yake siyo uthibitisho wa kutokuwepo upendeleo au mtazamo wa kuachiana madaraka kwa misingi ya undugu au familia. Hata nchi za kidekteta huwa kura zinapigwa. Kinachoangaliwa ni mazingira ya upigaji kura huo. Wewe ukigombea nafasi ya UWT na Salma Kikwete na Kikwete ambaye ni Rais na Mwenyekiti wa Chama akaenda kumpigia kampeni mkewe Salma, na Salma akapita kama inavyotegemewa, utasema Salma alichaguliwa kidemokrasia? Think big na usikaririshwe kuwa demokrasia ni kupiga kura tu.

Chalinze hazikupigwa kura hamkuweka mgombea? mkapata 10%

Kwa Mgimwa hazikupigwa kura? hamkuweka mgombea? mkapata 20%

Zanzibar hazikupigwa, hamkuweka mgombea? CUF wakapata 49%

Jiulize Mzee Mtei alipomwachia Mkwewe alishindana na nani kwenye kura?

Hapo sasa!
 
Kupiga kura pekee yake siyo uthibitisho wa kutokuwepo upendeleo au mtazamo wa kuachiana madaraka kwa misingi ya undugu au familia. Hata nchi za kidekteta huwa kura zinapigwa. Kinachoangaliwa ni mazingira ya upigaji kura huo. Wewe ukigombea nafasi ya UWT na Salma Kikwete na Kikwete ambaye ni Rais na Mwenyekiti wa Chama akaenda kumpigia kampeni mkewe Salma, na Salma akapita kama inavyotegemewa, utasema Salma alichaguliwa kidemokrasia? Think big na usikaririshwe kuwa demokrasia ni kupiga kura tu.

Huyo ndiyo demokrasia.

Nimekuuliza Mtei alivyomwachia Mkwewe Mbowe, alishindana kura na nani?

Naona swali hilo limekuwa gumu kwako na hauna jibu.

Huo ndio ukweli. Si mambo ya Salma Kikwete kugombea UWT hizo ni alinacha na hazipo.

Ikiwa kampeni basi Kikwete anamfanyia kampeni mwana CCM yeyote yule anaeshindana na upinzani, nikukumbushe?
 
Sikukujibu kwa vile sikuona content. Mbowe alichaguliwa hakukabidhiwa, na alichukua nafasi hiyo toka kwa Hayati Bob Makani. Kama ni kupewa basi angepewa na Bob Makani siyo Mtei. Hizo unazoongea ni hadithi za kwenye kitcheni party.

Swala la kusema alishindana na nani, siyo la msingi. Cha msingi ni je, katiba ya chama ilifuatwa? Hata kwenye nafasi ya mgombea wa Urais wa CHADEMA, Dr. Slaa hakugombea badala yake alipendekezwa na Baraza Kuu la chama. Huwezi kusema kuwa kwa vile hakugombea wala kushindanishwa na mwingine, basi hakukuwa na demokrasia. Mbowe hakugombea bali alipendekezwa na kupigiwa kura.

Mfumo huo siyo mpya, kuna vyama vingi katika nchi nyingi mfumo kama huo hutumika. Chama kimojawapo kinachofuata mfumo huo ni FRELIMO. Viongozi hupendekezwa na kupigiwa kura badala ya kugombea na kupigiwa kura.

Katiba bila mgombea mwingine?

Hata juzi imebadilishwa kinyemela, hujui?
 
Halafu mtoto wa mwinyi umuweke wapi? Lazima awe rais, ili amuweke riziwani waziri na akitoka amrithi. Nchi ina wenyeww hii, weeh sindikiza tu. Hata kama umeoga mjini huendi
. Khaa bora umtoe ujinga kwani amechelewa kweli hapa mjini. Anashindwa hata kuona chadema ni yaleyale tu?? Dr Mtei, Dr Mbowe + Dr Tundu + Dr Xtina + Dr Ndesa + Dr Owenya etc
 
sasa itabidi na serikali pia itununulie magodoro ya kumsikiliza sababu wengi tutaishia kulala kwa kutokuwa na mlolongo wa maongezi... Aaaa ccm jamani ...

aaaaaaahhhh wewe unataka hotuba tamu au unataka uone treni za umeme viwanda kilimo cha kisasa na huduma bora za afya
 
i shall sing, sing my song
be it right, be it wrong
in the night, in the day
anyhow it's outasight
i shall sing
la la la la la la la la
with my heart, with my soul
for the young, for the old
when i'm high, when i'm low
when i'm fast, when i'm slow
i shall sing
i shall sing, sing my song
be it right, be it wrong
in the day, in the night
anyhow it's outasight
i shall sing
la la la la la la la la
i shall sing, sing my song
i shall sing, sing my song
i shall sing, sing my song
be it right, be it wrong
in the day, in the night
anyhow it's outasight
i shall sing
la la la la

its time we do more meaningful things. Tupo pamoja?

tumbili wewe yaani unakuja kutuimbia huku wakati umeletewa waalimu wa kwaya toka marekani na hujahudhuria hata siku moja kujifunza nota
 
Huyo ndiyo demokrasia.

Nimekuuliza Mtei alivyomwachia Mkwewe Mbowe, alishindana kura na nani?

Naona swali hilo limekuwa gumu kwako na hauna jibu.

Huo ndio ukweli. Si mambo ya Salma Kikwete kugombea UWT hizo ni alinacha na hazipo.

Ikiwa kampeni basi Kikwete anamfanyia kampeni mwana CCM yeyote yule anaeshindana na upinzani, nikukumbushe?

..hivi JK alishindana na nani ktk uchaguzi wa mwenyekiti wa CCM?

cc Bams
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom