Kama ni wewe utafanya nini?

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Vuta picha unatoka kwenye chumba cha guest ulikuwa unado na dem mwingine,kufika mlangoni unapigwa na butwaa mimacho inakutoka kidogo idondoke chini unapomcheki dem wako nae anatoka kudo na njemba nyingine,utakuwa mdogo kama punje ya unga wa ngano au utajinyonga na kamasi??????????
 
Anaweza akakata kumegwa na huyo msela coz atakuwa ashapagawa na situation. Hata kama jamaa atamega amini demu hatampa kwa kujiachia km ambavyo angempa mchz b4!
 
kwa taarifa yako, mi ninavyofahamu mademu hawezi kukubali kuwa ye katoka kudo, yaani atasema jamaa kamlazimisha, ila ye amekataa, sasa anamrudisha kwao, na hajafanya naye chochote.

Halafu kwa vile vidume vinavyojifanya vinajua kupenda, vitamuamini halafu vitamsamehe.
 
red handed,ngoma draw,kwa kuwa hutajua who started the game it is better to dismiss and everbody continue with his/her new relation.. mkijaribu kutafuta suluhu mtakuwa mshajipaka tope na kutoaminiana kumbuka huyo ulienae pia ukimdump utamuumiza,aende wapi?
na yule kidume wa gf wako akiachwa ataumia pia na aende wapi ukizingatia hawafahamiani na hawara wako
 
Inakuwaje unampa mwanamke nafasi mpaka anatoka nje? Nyie inaelekea hamridhishani vya kutosha, hiyo ni mbaya, hakikisha mnamchosha mtu kisawsawa hawezi kumissbehave na wewe hutakuwa na tamaa ya wengine?
 
Hapo ni ngoma droo yaani 1-1. Kwa hiyo mnaanza mambo upya ila kama mwanaume inabidi upige mkwara kidogo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom