Kama ni wewe ungefanyaje??

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Ww ni mwanaume ulioa miaka 6 iliyopita, wakati unamchumbia mkeo ulikua hn mali wl chcht ulikua unalalia kitanda cha 3 kwa 6 na mke kwao walikua wanamaisha mazuri, mke akakupenda km ulivyo mkaoana, baada ya miaka 2 mkajaliwa mtoto ukaanza vituko MARA HURUDI NYUMBANI mke akikuuliza unamdanganya kaz, MARA MADEMU ZK WANAKU2MIA SMS ZA MAPENZI mke akikuuliza unamgombeza na kumwambia asikufatefate km anatk aende kwao, mkeo analia kl wkt anakulalamikia kw anakupenda anakuomba usimtese huelewi, UKAANZA KUUMWA UWEZO WA KUFANYA MALOVE UKAPUNGUA KIAS KWAMBA UKIWA NA MKEO HUWEZ KUDO MKE AKAWA ANAKUVUMILIA NA KUKUFARIJI, UKAMWONA MJINGA UKAANZA DHARAU MKE AKIKUSEMESHA UNAMJIBU MBOVU AKIULIZA KULIKONI UNAMDUNDA, SK 1 UKAMPIGA SN MKE NA KUMWAMBIA AENDE KWAO AKAKWAMBIA " mume wng ninakupenda sn klk M2 yyt na nimekuvumilia kwa mengi ss bas sitaumia tn sbb yk nipe talaka niende kwetu na sitaki mali yk yyt" kuona hvy mzee mzima ukaondoka nymbani ili kuua soo anzia siku hy mke hn time na ww yy na mwanae KM NI WEWE UNGEFANYAJE??
 
mkuu asilimia kubwa ya sisi wanaume kama hujiamini kwa mkeo tunaamini sana katika suala la kupiga kama ndo suluhisho halisi .. kama unaamini umetenda kosa yule ni binadamu kama wewe jishushe na umuombe msamaha .. maana huyo mtoto anahitaji mapenzi yenu
 
Kwanza uliumwa ugonjwa gani we kima mdogo? Usije muuwa dada wa watu bure! Kapime afya kwanza njoo na majibu tukushauri maana historia yako si nzuri!

Ww ni mwanaume ulioa miaka 6 iliyopita, wakati unamchumbia mkeo ulikua hn mali wl chcht ulikua unalalia kitanda cha 3 kwa 6 na mke kwao walikua wanamaisha mazuri, mke akakupenda km ulivyo mkaoana, baada ya miaka 2 mkajaliwa mtoto ukaanza vituko MARA HURUDI NYUMBANI mke akikuuliza unamdanganya kaz, MARA MADEMU ZK WANAKU2MIA SMS ZA MAPENZI mke akikuuliza unamgombeza na kumwambia asikufatefate km anatk aende kwao, mkeo analia kl wkt anakulalamikia kw anakupenda anakuomba usimtese huelewi, UKAANZA KUUMWA UWEZO WA KUFANYA MALOVE UKAPUNGUA KIAS KWAMBA UKIWA NA MKEO HUWEZ KUDO MKE AKAWA ANAKUVUMILIA NA KUKUFARIJI, UKAMWONA MJINGA UKAANZA DHARAU MKE AKIKUSEMESHA UNAMJIBU MBOVU AKIULIZA KULIKONI UNAMDUNDA, SK 1 UKAMPIGA SN MKE NA KUMWAMBIA AENDE KWAO AKAKWAMBIA " mume wng ninakupenda sn klk M2 yyt na nimekuvumilia kwa mengi ss bas sitaumia tn sbb yk nipe talaka niende kwetu na sitaki mali yk yyt" kuona hvy mzee mzima ukaondoka nymbani ili kuua soo anzia siku hy mke hn time na ww yy na mwanae KM NI WEWE UNGEFANYAJE??
 
Nadhani mke alijaribu kila njia bila kufanikiwa, ndio akaamua hivo. Inatokea sana. Mwanaume awe mpole na amuombe mke wake msamaha kwa makosa yote ya zamani, na abadilishe kweli tabia. na mke amsamehe sababu wanawake tuliumbwa na roho kubwa (kma ataweza lakini)
 
mwombe msamaha labda atarudisha moyo nyuma, anyway, ingekuwa ni mimi nisingekuwa nimefanya ulichokifanya...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom