Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,942
- 3,606
Mfano wewe ni Derevawa Bodaboda umepigiwa simu kumfuata mteja Gest na wewe ukaenda maana ndiyo kazi yako, sasa ile unafika tu! Unakuta Mteja ni Mkeo, akiwa na jamaa Mlangoni wanatoka ndani ya Guest wakiwa Wameshikana Mikono na Jamaa anakwambia Muwahishe Nyumbani kabla Mume wake hajarudi, Na wewe ndiye MUME