Kama ni wewe unaweza kuchukua hatua gani kwenye jambo kama hili?

Kama una uhakika hao mapacha ni wanao,nakushauri tafuta msaada wa kisheria,ili taratibu zote za upimaji wa DNA ifanyike,hapo ndo utapata majibu sahihi,

Kama majibu yatakuwa upande wako chukua wanao,

Kama si wako achana nao.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni mkeo wa ndoa au sogea tuishi!?

Una uhakika upi kuwa wale ni wanao?

Ujasiri wa watoto kuandikwa jina la mwanaume mwingine umetoka wapi ikiwa kweli ni watoto wako?

Ulimkuta single kweli au uliiba mke wa mwenzio!?
 
Ni mkeo wa ndoa au sogea tuishi!?

Una uhakika upi kuwa wale ni wanao?

Ujasiri wa watoto kuandikwa jina la mwanaume mwingine umetoka wapi ikiwa kweli ni watoto wako?

Ulimkuta single kweli au uliiba mke wa mwenzio!?
MFANO wewe ni mwanamke Mwanaume wako wa mwanzo amekutelekeza mda mrefu hajui unakula wala unavaa nini hana mpango kabsa wala hawajali watoto wake, akatokea mwanaume mwingne mkapendana atakuwa amekuiba? Je unapenda kuwa single mother muda wote, unakubali kwamba nyie wanawake mliotelekezwa tusiwaoe kisa kwa kaul yako kwamba tunaiba mke wa mtu?
 
Kuna vitu viwili katika maisha vijana ni mwiko kufanya cha kwanza usioe mwanamke mwenye mtoto ambaye baba yake yupo hai ukifanya ivyo hapo unanunua ugomvi hadi mwisho wa maisha yako na utakosa amani ndani ya nyumba siku zote

cha pili usisomeche mwanamke narudia tena usisomeshe mwanamke hiyo ni kazi ya wazazi wake ukifanya ivyo utajutia maisha yako yote, mwanamke asomeshwi


Wewe umenunua ugomvi huu hautakuacja salama hadi mwisho ila kama watoto una uhakika ni wako basi pambana uwachukue ila isijekuwa hata watoto sio wako mkeo alikuwa anagawa mechi nje ya uwanja wa nyumbani mana hadi kufikia mwanaume kuja kuwachukua na yeye anauhakika
 
najua humu kuna watu wenye busara na ushauri mzuri kabla cjafanya maamuzi,

Nistori ndefu lakn nafupisha,
Ipo hvi mm nimeoa mke nilimkuta single mother mwanaume wake wa zamani ndio anatia doa maisha yetu mke wangu alijifungua watoto mapacha kwa op, nikpata kazi nje ya nchi, huku nyuma kumbe jamaa kamchukua mke wangu nawatoto kawasajir majina yake ananitishia kuniua cku nikienda kumfata mke wangu, wanasemaga ni ujinga kugombania mwanamke lakn sanyinge inabidi tu kufanya hvyo, kabla hatujabadilishana majengo ya serikali, nipeni kwanza ushauri inauma sana
Unagombaniaje mtu asiyekupenfda? Una haika gani kama hata hao watoto wako?
 
Mama ndio anajua mtoto baba ake nani kwa kule kwetu mexco tunajua hili sasa mama keshasema mtoto babake nani we unataka nn?!!!!
 
oya tuseme mara ngapi humu? unapooa single mama jiandae kuoneshwa kwanza kaburi la aliyezaa naye, kuna babu mmoja aliniambia kuwa nisijenge kwenye kiwanja chochote ambacho kina mgogoro, kama hujaoneshw akaburi la mzazi mwenzake usioe, wanawake wote hawa unataka uuane kisa mwanamke!
 
Tunapoelekea wababa mnaozalisha masingle maza mtakufa sana ili wapate makaburi yakuonyesha wapenzi wao wapya
 
Una uhakika watoto ni wako?
Amelazimishwa kwenda kwa huyo bwana?
Upo nje ya nchi?
Una kazi yako unafanya?
Unarudi lini?
Ukirudi una kazi unakuja kufanya?
Usimtafute hata kwenye simu,kama ulikuwa umepanga hama ukirudi kaish kwingine!
Ushauri mzuri sana huo.....mtoa mada zingatia hilo
 
Najua humu kuna watu wenye busara na ushauri mzuri kabla cjafanya maamuzi,

Nistori ndefu lakn nafupisha,

Ipo hivi mm nimeoa mke nilimkuta single mother, mwanaume wake wa zamani ndio anatia doa maisha yetu. Mke wangu alijifungua watoto mapacha kwa op, nikapata kazi nje ya nchi. Huku nyuma kumbe jamaa kamchukua mke wangu na watoto kawasajiri majina yake ananitishia kuniua cku nikienda kumfata mke wangu.

Wanasemaga ni ujinga kugombania mwanamke lakini saa nyingene inabidi tu kufanya hivyo, kabla hatujabadilishana majengo ya Serikali, nipeni kwanza ushauri inauma sana
Kwani huyo mkeo alitekwa au alienda kwa mapenzi yake kwa huyo ex wake
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom