Kama ni wewe mwanaume mwenzangu hili tatizo ungelitatuaje?

Wewe ni mzigo wa gunia la misumari jambo dogo linakushinda akili uwe unajiongeza
Tehtehteh.

Haya piga kampeni naona unataka mfanane.

Ila mwenzio hata usingle mom hajui kama ni tatizo kama unavyoliona ni tatizo wewe.

Kuwa single mom sio ugonjwa.sidhani kama utanielewa hapa.

Narudia kwake msamiati wa usingle mom kuwa tatizo kama unavyolichukulia na ulivyomezeshwa hapo unapoishi halipo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdau hapo juu katia neno zuri nahisi ni Rebeca 83 kwamba kuna mimba huja na vitimbi vyake, karaha za hapa na pale yani mwanamke anaweza kukuchukia kabisa na its obvious ana mimba %, sasa ukimuuzi lazima achukia sana ukichanganya na hali yake, hapo fanya juu chini mlete aje kukaa na wewe mengine mtayaweka vizuri tu, halafu acha kutumia maneno makali yatakayo mkela hususani kipindi hichi
 
True, kuna issue ya kukwepa majukumu hapo.

Lakini pia kuna experience za kuambiwa fake news za mimba kwa sababu mbalimbali.
Don

Sijajua kama mnaelewa ninachotafuta hapa.

Natafuta ushauri wa kujenga sio wa kubomoa.

Sihitaji ushauri wa kuambiwa nikimbie. Ukishaelewa hili huhitaji kuanza kunifikiria vibaya.

And I already decided to opt Daata's advise.
 
Kuna mdau hapo juu katia neno zuri nahisi ni Rebeca 83 kwamba kuna mimba huja na vitimbi vyake, karaha za hapa na pale yani mwanamke anaweza kukuchukia kabisa na its obvious ana mimba %, sasa ukimuuzi lazima achukia sana ukichanganya na hali yake, hapo fanya juu chini mlete aje kukaa na wewe mengine mtayaweka vizuri tu, halafu acha kutumia maneno makali yatakayo mkela hususani kipindi hichi
Shukrani mkuu nilimsoma nikamwelewa rebeka.
 
Kimeo kimekutana na kimeo. Pambaneni na hali zenu maana ni chupa na mfuniko.
 
Back
Top Bottom