Kama ni wewe mwanaume mwenzangu hili tatizo ungelitatuaje?


Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
246
Likes
277
Points
80
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
246 277 80
say traquil

say traquil

Member
Joined
Aug 15, 2016
Messages
17
Likes
4
Points
5
say traquil

say traquil

Member
Joined Aug 15, 2016
17 4 5
suala la mimba ni mtambuka sana,hivyo huyo binti kama kweli ana mimba yako asingekuwa hivyo angetoa ushirikiano wote kwako,hapo jua hiyo mimba ya mwanaume mwingine.
Cc:Brown Kwacha
 
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
246
Likes
277
Points
80
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
246 277 80
suala la mimba ni mtambuka sana,hivyo huyo binti kama kweli ana mimba yako asingekuwa hivyo angetoa ushirikiano wote kwako,hapo jua hiyo mimba ya mwanaume mwingine.
Cc:Brown Kwacha
Shukrani mkuu kwa ushauri.
 
bazl

bazl

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Messages
257
Likes
236
Points
60
bazl

bazl

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2018
257 236 60
Kwani ww huwezi fanya uchunguzi wako binafsi mkuu? Kwann usitumie mbinu za medani kujua kama huyo mtoto ni wake au ni mdogo wake? Why usitumie mbinu za medani kujua kama anajamaa au hana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
246
Likes
277
Points
80
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
246 277 80
Wakuu mliotoa ushauri shukrani nadhani pia wanaume mmepata cha kujifunza humu.

Nitafuata ushauri wa @rebeka83 na Daata .
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
5,790
Likes
11,493
Points
280
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
5,790 11,493 280
Don

Sijajua kama mnaelewa ninachotafuta hapa.

Natafuta ushauri wa kujenga sio wa kubomoa.

Sihitaji ushauri wa kuambiwa nikimbie. Ukishaelewa hili huhitaji kuanza kunifikiria vibaya.

And I already decided to opt Daata's advise.
Mimi binafsi nilikuelewa toka mwanzo, naamini kuna wadau wametoa ushauri mazuri.

Hatuwezi wote kuelewa katika mstari mmoja, just focus.
 
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
246
Likes
277
Points
80
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
246 277 80
Kwani ww huwezi fanya uchunguzi wako binafsi mkuu? Kwann usitumie mbinu za medani kujua kama huyo mtoto ni wake au ni mdogo wake? Why usitumie mbinu za medani kujua kama anajamaa au hana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vingumu...sijui kwao.

Sina nimfahamuye nikamuuliza.kiurahis hatupo connected. Kazi natoka saa 11 naingia 11... nipo ugenini.
 
K-wire

K-wire

Senior Member
Joined
Dec 6, 2017
Messages
147
Likes
104
Points
60
K-wire

K-wire

Senior Member
Joined Dec 6, 2017
147 104 60
Ndugu Kwanza pole Sana .
Pili kitendo Cha kutoa mimba ni dhambi kubwa Sana mlifanya.
Then kwa Hilo la mimba hapa Kuna dhana mbili,
Mosi- huyo binti inawezekana kabisa hiyo mimba sio ya kwako au Hana mimba kabisa so anachofanya ni kukusumbua tu ili ukate tamaa then uachane Nate
Pili- inawezekana hiyo mimba ni ya kwako so kale kakipindi ka mimba huwa Kabaya Sana huwa wanachukia hata anaweza kufanya mambo ya ajabu ajabu kama hayo anayokufanyia
Cha kufanya mpe muda Kwanza kama miezi 2 Hadi mitatu uzuri mimba huwa haifichwi itaonekana tu.
Kuhusu mtoto it's simple just make follow up kuanzia sehemu alizowai kuishi rafiki yake wa zamani utaujua ukweli bila hata ya kumuhusisha yeye.
Naomba niishie hapo nimechoka kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,079
Members 485,449
Posts 30,112,461