Kama ni wewe mwanaume mwenzangu hili tatizo ungelitatuaje?


cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Messages
6,977
Likes
10,491
Points
280
cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2015
6,977 10,491 280
Baada ya kusoma hii comment, nimerudia kuisoma thread.

I think you have a point.
Wewe soma between the lines ungeelewa nyie wanaume bana. Nilivoona eti kamnunulia vidonge atoe mimba Mara kapima IPO nikajua hapa kuna new single mom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

MYWEWE

Member
Joined
Jul 20, 2012
Messages
80
Likes
76
Points
25
M

MYWEWE

Member
Joined Jul 20, 2012
80 76 25
uyo manzi anaitwa Baraka, kwao manzese...???
Hata wanawake mnaruhusiwa kuchangia.

Ok ipo wakuu soma yote pls.
Nilikuwa mbali na nyumbani nikakutana na binti fulani nikampenda nikamtongoza baada ya muda akanikubalia tukaanza kudate.

Alinisimulia maisha yake yaliyopita moja akadai ujauzito wake wa miezi mitano ulimharibikia. Nilimpa pole nami nikamsimulia yangu, tukaendelea kudate.

I live alone, alikuwa anafanya kazi karibu na ninapoishi hivyo jioni kabla ya kurudi kwao lazima apite kwangu kisha aondoke. Baada ya muda nikaanza kula tunda life likaendelea, tukala tunda kavu.

Siku moja akaniambia anataka akafanye vipimo nikamwambia ok. Majibu kurudi anamimba. Akaniuliza vipi (nikiwa mkweli) nilimshauri tutoe tukakubaliana bila kinyongo. Mahusiano yalizidi kuendelea bila tatizo. Tukashauriana atumie vidonge.

Akawa anatumia na kila siku nikawa namkumbusha. After three weeks tena akaniambia anataka akachukue vipimo akaenda majibu kurudi anaujauzito. Hapa aliniwahi akasema akiendelea kutoa atahatarisha maisha yake. Lakini nikamuuliza si ulikuwa unatumia pills?? Akasema haelewi.

Ok, nikasema kama kweli yametokea haya na tulitumia mbinu zote kuzuia nitakubaliana na kila kiti usitoe. Ishu ikawa kwa wazazi wake atasemaje?? Akaniambia wazazi wakijua nimepata mimba ya mgeni sitakuwa na cha kuongea hivyo nitaficha hadi watakapogundua.

Tukawa tunaendelea na mapenzi yetu. Kufupisha stori.

-Huyu binti anamdogo wake lakini mimi toka siku ya kwanza nilihisi ni mwanae. Tumegombana saana kwenye hili. Alinitumia hadi vyeti vyake vya kuzaliwa akidai ni mdogo wake. Ila nafsi haikukubali hadi kesho. Namna ya kuthibitisha sina.

-Juzi amenilalamikia nimekuwa kimya saana lakini sio kweli nikimwambia njoo nyumbani hataki toka december, hivyo anaona simpendi tena.

- lingine baada ya kukwaruzana na familia aliamua kuishi nyumba ya babu yao mbali na nyumbani lakini bado anaishi na yule anayemuita mdogo wake.

-Lililonitisha zaidi ni nimemshauri juzi njoo tuishi pamoja kwa kipindi hiki ujauzito mdogo kisha tuta-sort baadhi ya mambo. Tukakubaliana atanipa feedback jana ila jana anadai hawezi kuhama maana anaishi na mdogo wake.

-kuna siku alikuja nyumbani nikaomba mchezo akaninyima akiamini haniamini kama sijatembea na mwanamke mwingine. Nilimjibu vibaya(Nilimwambia inamaana huwezi kuniamini? Mbona mimi niliamini ujauzito ni wangu) alilia saana)

-Nimekuwa najaribu kutumia busara ya kila aina nisimwache aone ananyanyasika au namwachia mzigo wa kulea lakini naona naelekea kushindwa.

1. Toka mwanzo nilimwambia kama una mtoto na ulinificha siwezi kukubaliana na lolote. Huu wasiwasi nimeueleza hapo juu.

2. Analalamika simpendi tena ilihali natumia mbinu zote aje aishi nami maana anaonekana yupo lonely napo hataki. Sasa mimi nifanye nini? Na week siku sio nyingi aliniblock nikatumia simu card nyingine kumtafuta...nikamwambia wewe mbinafsi saana. Unaniblock ili uifurahishe nafsi yako while kid ndiye anaenda kuumia. Nimechoka kuandika.
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
5,284
Likes
4,427
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
5,284 4,427 280
Sasa hapo kuna mahali kaandika awe anameza vidonge kila wakienda kufanya mapenzi? Utoaji wa mimba ni tofaut na unywaji wa vidonge vya uzazi wa mpango ambavyo jamaa kalalamika demu alikuwa hana uhakika kama anajikinga na mimba soma kwa utulivu
Hivi unajua kusoma?? Au Ngumbaru. Walikubaliana watoe nn, mapovu au
screenshot_20190211-210700-jpeg.1020105
 
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
246
Likes
277
Points
80
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
246 277 80
Ni wanawake wajinga wachache anaweza kukupa mimba isiyo yako, esp kama ni mpenzi tu sio mkeo. Ila kama ni mkeo asilimia kubwa huwabambika mimba waume zao. Mkuu kwanza kabisa hakuna mwanaume ambaye huwa anajua kama mimba ni yake hadi mtoto azaliwe. So mimbani yako mkuu, cha msingi shut up usiongee sana, sio hulka ya kiume hiyo. Pia mwamini mpenzi wako. Kamwambia yule mdogo wake why hauamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishakuwa na mdada mtz ilikuwa hivi.

Mdogo wake anamuita mama.

Ukiwa naye stori ni za mdogo wake.

Ukiwa naye ataongelea mdogo wake anavyompenda kuliko yeyote kwenye familia yake...hapa ni baada ya kumshukia mbona kila siku stori mdogo wako. Ndiyo ataileta hiyo sababu.


Kikubwa kingine ameniambia hayupo vizuri na familia je itampa mtoto akaishi naye ilihali mama yake ndiye hawaelewani?
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
5,790
Likes
11,493
Points
280
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
5,790 11,493 280
Wewe soma between the lines ungeelewa nyie wanaume bana. Nilivoona eti kamnunulia vidonge atoe mimba Mara kapima IPO nikajua hapa kuna new single mom

Sent using Jamii Forums mobile app
I can understand you, I took side and it blurred my assessment.

I think you are also being too emotional.
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
5,284
Likes
4,427
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
5,284 4,427 280
Ngumbaru anaweza kuwa baba yako kakupa ubongo mgumu narudia kukwambia kuna mahali hapo kaandika hajameza vidonge wasipate mimba?
Walikubariana watoe nini??
 
cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Messages
6,977
Likes
10,491
Points
280
cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2015
6,977 10,491 280
I can understand you, I took side and it blurred my assessment.

I think you are also being too emotional.
I'm not emotional bwana mi ka mwanamke ukidate na mwanaume umwambie una mimba huwa wanabadilisha gear angani nakutafta visababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
246
Likes
277
Points
80
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
246 277 80
Sasa hapo wewe mwanaume umeanza kukimbia majukuku akili huna ka nyumbu tu vile dunderhead

Sent using Jamii Forums mobile app
Tehtehteh.

Haya piga kampeni naona unataka mfanane.

Ila mwenzio hata usingle mom hajui kama ni tatizo kama unavyoliona ni tatizo wewe.

Kuwa single mom sio ugonjwa.sidhani kama utanielewa hapa.

Narudia kwake msamiati wa usingle mom kuwa tatizo kama unavyolichukulia na ulivyomezeshwa hapo unapoishi halipo kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,262,100
Members 485,449
Posts 30,113,014