Kama Ni Mzalendo wa Kweli, Kama Una Roho Nyepesi Usisome

Come to your senses, tuungane tukajenge kijiji nje ya mji tujitegemee kwa kila kitu, kuanzia shule, soko, na pesa

the whole system ni rotten inaongozwa kwa remote control, dawa ni ku-exit kutoka kwenye world system.
 
Ndio tatizo lakupost thread wakati umelewa matapu tapu ndio haya ! hujaeleweka kabisa

haujaelewa nini hapo mkuu? tunaibiwa na wazungu huku sisi tukiwakenulia na mitaasisi yao ya ukoloni mamboleo. alichosema kuhusu Botswana ni sahihi kabisa. Botswana ina reserves kubwa sana IMF, sio kama sisi ambao mara ya mwisho tulikuwa na reserve labda ni siku mbili baada ya uhuru.
 
Poor my country man umefikaje Jamii forum kama sio great thinker du kazi kweli ama kweli walter alichokisema amekifanyia utafiti.
Kuleee kunakoitwa Uingeletha watu wamethoma thana, mpaka watoto wadogo wanaongea kingeletha.
 
lakini jamani lini tutajikwamua kwenye huu umasikini, maana kama tunavyoona wenzetu kila leo wanatupita
 
Back
Top Bottom