Kama ni mzalendo kweli msaidie Rais kupambana na kuijenga CCM na Tanzania mpya..

WAKUNJOMBE

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
609
618
Ccm mpya naiona kwa mbali japo inaweza isifike pia.

Mm binafsi anacho kifanya Mh JMP raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tz ndani ya chama ni mageuzi tu ambayo watu wa utamaduni au wakupeani vijiti au wale wazee wa CCm ni ile ile...hawapendezwi hata kidogo...
Mimi wakunjombe nilikua nje ya CCM mda.mrefu sana na nilikua naichukia kiasi hata jiwe ningeweza pigia kura but not ccm..
Tangia raisi huyu anaingi madarakani nilisema kwa stail anayo enda nayo ni wapinzani tu ndio anaweza fika nao...maana hawa ndio walikua bado hawakonja utam wa keki
Ila wale wa ndani wamekula keki na wanajua utam wake vizuri sana tena sana.. sasa wanataka utam uendelee ila JPM ni kikwanzo...
JPM anawaambia hii keki ni ya Taifa..ila wale wazee wanasema ni ya CCM kwanza ..kazi imeanza..
Kama huamini waulize wale wazee hv kwa nn mnasema huyu mkuu hafai? Mshamba ?nk

Wale waupande mwingine yaani huu wakwangu mm na ww tupo wengi sana..wanasababu nyingi nyingi ndogo ndogo..ambazo wakikaza jamaa naweza jirekebisha..mfano hata mm nazichukia hasa hii watu kupotea ovyo pia kuna kaharufu ka ukanda ukanda na ukabila ndani yake ...hili la kubana demokrasia naweza kukupa majibu kwa nn anabana..japo sipendi mtu auliwe kisa siasa..maana dam juu ya aridhi ni laana .
Jibu moja kuhusu kubana demo linweza kua ni hili..
Watz wengi wapo nyuma sana kupambanua mambo yaani lipi kweli na lipi si kweli
Yaani ni rahisi sana kuwadanganya.wanasiasa wengi wanawin sana kwasababu ya convincing power walio nayo na wengi utakuta wanaongea mabaya ya mwenzie ili ukuteke..na kwaujumla tangingia awamu ya pili Tz ina mabaya mengi kuliko mazuri..sasa awamu ya tano ingeachia watu waongee tu basi mabaya yangesikika zaidi kuliko mazuri..so mbinu ni wabane wasizungumze then piga kazi...

Ukimaliza nje ingia ndani...
Kuna watu ndani ya chama walikua na utamaduni,mila na desturi ya kufichiana maovu tangia awamu ya pili..wanapokezana vijiti tu..
Ndio maana mlisikia zile nyimbo CCM ni ile ile mara CCM inawenyewe..nk
Usipo fanikiwa kuuwa hizi mila au destuli au tamaduni hizi..hakuna CCM mpya my friend..

MKuu ameanza na anahitaji ushilikiano wa hali na mali kufanikisha hili akifanikwa hili tutaiona Ccm mpya..
Mimi kama mm nasema hv
Ukiacha awamu ya kwanza..Tanzania haijawahi pata Raisi kama huyu anae pigana kwa manufaa ya Taifa ..keep other factors constant..bye
 
Itakuwa umekunywa supu ya utumbo wa pork.
tapatalk_1563728672445.jpeg
 
Na tutampa support kubwa kabisa. Hilo halina shida!
 
Back
Top Bottom