'kama ni muislam au mkristo naomba mnijulishe suala hili'

Status
Not open for further replies.

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,423
2,414
'Asili na maana ya majina haya,je unayafaham'
'Salaam...........natanguliza shukran kwa wote haya,kwa kifupi hii thread haihusiani na DINI yoyote haya ni mawazo binafsi tu kwa mifano na hoja.

Haya majina yanatokana na nini wakuu ningependa kujua tu mwenye sifa gani anastahili kuitwa haya majina na je,vyeo huwa vinaongezeka au ni sawa tu majina mengine wakuu...........nilijiuliza sikupata jibu hivyo nikaona si mbaya ku-share mawazo na Ma GT coz humu ndani hakishindikani kitu i hope.

Mfano,utakuta mtu anasema kauli kama hii "MAMBO VIPI SHEIKH WANGU" halaf huyo mtu mwenyewe utakuta hata ALIF haijui...........pia utaskia mtu anamwita mwenzake "VIPI ASKOFU WANGU" wakati ukimuuliza askofu ana wadhifa gani hajui maana yake na bado anaendelea kuita tu hivyo nadhani labda haelewi maana ya majina haya...

ASKOF,PADRE,SHEIKH,MCHUNGAJI,MAALIM,USTAADH,MUFT,KASISI,KADINALI,MUAADHAM,KUHANI MKUU,NABII sio nabii wa zamani ni hawa wa sasa wakuu,PAPA,KADHI,ULAMAA AU MWANAZUONI..........tuchangieni mawazo juu ya hili kama kweli mnafaham wakuu...

You welcome...!'
 
Hayo majina kidini yana julikana dhahiri maana yake. Nadhani unachosemea wewe ni matumamizi ya hayo majina ki mitaani au kiutani bila kuwa na maana yake ya asili
 
Hayo majina kidini yana julikana dhahiri maana yake. Nadhani unachosemea wewe ni matumamizi ya hayo majina ki mitaani au kiutani bila kuwa na maana yake ya asili

'ni kweli ndio ila kwa jina kama NABII mkuu jinsi linavyotumika ni sawa...............kwa mana kama jina la nabii siku hizi limeenea sana mkuu sio mtaani tu hata kwenye nyumba za ibada wanatumia jina hilo mkuu,hii ni sawa Percival kwa mtazamo wako mkuu?'
 
Last edited by a moderator:
Yamekawaidishwa mno. Hayana madhara yamekuwa kawida. Nikama mtu anasema Vipi KICHAA WANGU, HUYU NI MCHIZI WANGU, YULE ------ NAMKUBALI SANA. ni kama hivyo. Hayana effect zaidi ya Appreciation.
 
Yamekawaidishwa mno. Hayana madhara yamekuwa kawida. Nikama mtu anasema Vipi KICHAA WANGU, HUYU NI MCHIZI WANGU, YULE ------ NAMKUBALI SANA. ni kama hivyo. Hayana effect zaidi ya Appreciation. Na mengine mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom