Kama ni muhimu ule usiku, kula matunda. Kama huna matatizo ya kiafya usile itakusadia kupunguza uzito uliokithiri

Kuna wenzangu na mie mti mkavu hata tule nini hakuna lolote.
Naunga Mkono Hoja
Maana Nimehangaika Kuwa Kama Mamelod Yule FIFA Mambo Magumu Yaani Imegoma
Acha Nilidhike Na Hali Yangu Ya Afya Hii Kagame Type
 
Naunga Mkono Hoja
Maana Nimehangaika Kuwa Kama Mamelod Yule FIFA Mambo Magumu Yaani Imegoma
Acha Nilidhike Na Hali Yangu Ya Afya Hii Kagame Type
Naunga mkono hoja Maana nilishakula milo 5 kwa siku lakini bado mambo magumu.
Nimeshakubali matokeo siwezi ongezeka uzito, type ile ya 1..
 
Nilishazoea kabisa. Naweza kunywa glass ya mtindi nikalala bila wasiwasi, asubuhi nikaamkia nusu lita ya maji ya uvuguvugu kisha mayai yangu matatu na mbogamboga. Wali, ugali nimeacha muda. Ni proteins, mbogamboga, na matunda yasiyo na sukari nyingi nakula kwa wingi
Starch ( wanga) pia ni muhimu sana, ili kukupa nguvu, ukiacha kwa muda mrefu unaweza kuja kupelekwa na upepo
 
KWA nnavojua Mimi,
Ukitaka kupunguza uzito ulokithiri kwa haraka zaidi, Fanya yafuatayo:-

1. weka nyumba Bondi, Kisha Kakope pesa nyingi benki,
Afu pesa yote Kanunue shamba kando ya mto na uanze kulima tikiki na Ela itakayobaki uchimbe bwawa la ufugaji samaki.
Afu Mvua kubwa inyeshe, tikiki zote zioze , samaki wote wasombwe na maji waende mtoni.
Kisha benki waanze kufatilia Deni lao na hujui pa kupata pesa za kulipa.
Nna uhakika ndani ya mwezi, utapungua uzito.

2. Ingia kwenye mahusiano na MDANGAJI awe na gubu Sana. Afu umpende Sana kwa Moto wako wote.
Utapungua Sana uzito uto AMINI.
Sasa hapo utapungua kwa natatizo sio kwa furaha
 
Nimetumia nguvu nyingi sana kudecode jinai la uzi maana kila nikiangalia naona neno tunda.
 
Back
Top Bottom