Kama ni mkazi wa Arusha na taa za gari yako zina ukungu au zimefubaa karibu tukung'arishie kwa bei nafuu

Little Dreamer

Senior Member
Sep 12, 2017
178
149
Hii ni kwa wale walioko Arusha Mjini, na taa za magari yao zina ukungu au zimepauka.

Tunang'arisha taa hizo kwa kutumia kifaa maalum na kuzirudishia mng'ao wake kwa gharama nafuu kabisa.

Tupigie kwa simu namba 0621 846107 (call/WhatsApp).

Huna haja ya kutembelea taa isiyomulika vizuri kwa ukungu wala huna haja ya kunua tena taa mpya.

Pia kama taa yako imepasuka kioo, tunabadilisha kioo na kuweka kioo kipya.

NICCOSTAR AUTOMOBILES POSTER SQR 2b.jpg
 
Back
Top Bottom