Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,072
2,000
kama ni msaada umeamua kutoa kwa malipo yashukrani tu hata ya mdogo au kwa kutegemea swawabu toka kwa mwenyezi Mungu..... hakuna ubaya imwage hiyo dili hapa kila mtu apambane kivyake wenye shukrani lazima wakutafute otherwise labda unahitaji makubaliano fulani..
 

Rwebo

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
441
500
Watanzania Mentality za kiwiziwizi tu ndo zimejaa vichwani, ili ni tatizo kubwa sana. Ila ukiwaletea dili ya kupata 4000 kwa siku anafurahia, ila deal ya hela nyingi wanaona wizi sababu ya mawazo finyu
Watu tumeshapigwa sana tena humu humu Jf. Kwa wale wenye muda mrefu kidogo watakumbuka jamaa tapeli akijiita Kelvin Isaya Mulisa. Alikuwa anatumia simu ya code ya nchi moja ya uarabuni +971523328490, alikuwa a nauza vitu kwabei nafuu sana. Ulikuwa unalipa robo ya bei, kabla mizigo haujaja zilizobaki utalipia mizigo ukija. Alitoa hata address ya ghala lake lilipo nadhani ilikuwa Kigamboni. Kufupisha habari, watu wengi tulipigwa humu humu Jf. Hivyo anayeonesha wasi wasi huyo ndiye mwenye akili. Kama kweli anataka kuwa saidia au kuwapa watu mchongo kwa nini asitoe habari zoote hapa hapa bila mtu kumpigia simu?
 

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,008
2,000
kama ni msaada umeamua kutoa kwa malipo yashukrani tu hata ya mdogo au kwa kutegemea swawabu toka kwa mwenyezi Mungu..... hakuna ubaya imwage hiyo dili hapa kila mtu apambane kivyake wenye shukrani lazima wakutafute otherwise labda unahitaji makubaliano fulani..
Umeongea kwa busara sana mkuu..

Chukua hii.
Kama una hela nenda Dar chukua Bannister glycerine 50mil kulingana na uwezo wako leta Dodoma, kwa Dar inapatikana kwa 83000 mpaka 83500 usafiri kutoka dar mpaka dodoma kwa carton ni 1000 jumla 84000 mpaka inafika hapa, kwa hapa inauzwa 90000 kwa carton ukileta hata 200 zinaisha ndani ya siku mbili mzigo umeisha. Ukihitaji usaidizi wa chochote ukishafisha mzigo wako unaweza nitafuta. Ahsanteni mapambano mema katika kutafuta ugali
 

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
473
1,000
Umeongea kwa busara sana mkuu..

Chukua hii.
Kama una hela nenda Dar chukua Bannister glycerine kulingana na uwezo wako leta Dodoma, kwa Dar inapatikana kwa 83000 mpaka 83500 usafiri kutoka dar mpaka dodoma kwa carton ni 1000 jumla 84000 mpaka inafika hapa, kwa hapa inauzwa 90000 kwa carton ukileta hata 200 zinaisha ndani ya siku mbili mzigo umeisha. Ukihitaji usaidizi wa chochote ukishafisha mzigo wako unaweza nitafuta. Ahsanteni mapambano mema katika kutafuta ugali
Tukienda kwenye market mkuu , maana market ndio pesa, je ni uhakika kwamba demand haiwezi kutetereka ,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom