macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,770
- 39,555
Kamuulize Gwajima. Ana dearth certificate yake. Corona!!!Gwajima ndio mtaalamu wa nini? ndio aliyekwambia Magufuli kafa na corona? Nyie hapa mnasema Magufuli alikuwa hasikilizi wataalamu ila nyie mnafanya vilevile, hapo ulipo huna hata chembe ya ushahidi kuthibitisha hayo madai yako ya kwamba Magufuli kafa kwa corona ila umeshikilia tu hilo suala kama imani kinyume kabisa na wataalamu ambao ndio walikuwa wakimtibu ambao wao wamesema chanzo cha kifo ni matatizo ya moyo ila wewe unakuja hisia zako za chuki na Magufuli unabishia wataalamu unatuambia Magufuli kafa na corona, sasa tukusikilize wewe tusiyekujua hata ni nani au tusikilize wataalamu?