Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,947
- 5,342
Nani aliekuambia sisi watanzania ni wanasayansi?Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,
Wanasayansi mmeshindwa kujibu maswali ya waamini Nani aje apate hizo chanjo zenu Sasa.