#COVID19 Kama ni kweli waliochanja chanjo ya Corona hawazidi laki 4 hadi sasa basi Waziri wa Afya na Naibu wake wajiuzulu

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
15,217
2,000
CCM inawanachama zaid ya million 12 nchi nzima.

Nasikitika Sana,
Hawa makada wanaokihujumu chama kwa kugoma kuchoma chanjo
 

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
13,515
2,000
Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,
Halafu bado kuna watu wa nategemea movie ya Maza ya Royal Tour italeta watalii.... Labda wale Watalii ngangali kama Watanzania.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom