#COVID19 Kama ni kweli waliochanja chanjo ya Corona hawazidi laki 4 hadi sasa basi Waziri wa Afya na Naibu wake wajiuzulu

Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,378
2,000
Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,
Nani aliekuambia sisi watanzania ni wanasayansi?
Wanasayansi mmeshindwa kujibu maswali ya waamini Nani aje apate hizo chanjo zenu Sasa.
 

Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,378
2,000
Huo ni ushahidi kuwa kwa sasa serikali haina ushawishi tena kwa umma, wanachoweza ni kupora fedha za wananchi kwa njia ya tozo bila makubaliano.
Rais alisema BBC kwamba anashukuru watanzania wamepokea tozo vizuri na juzi wamefurahi sana walivyopunguziwa jumla ya asilimia 40.
CCM oyeeee
 

Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,378
2,000
Kama idadi ni ndogo kiasi hicho basi wafuasi wa chadema siyo watiifu kwa mwenyekiti wao. Mwenyekiti kabla hajawekwa lupango alisema chanjo ni lazima, kwa nini wanachadema wote hawajaitikia agizo la mwenye kigoda? Au chadema ina wanachama chini ya laki 3?
Eti wanafuata maelekezo ya JPM hayati
 

Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,378
2,000
Kwa kuchanjwa kwake Samia sisi Watanzania tumepona, tumepata mikopo na misaada ya chanjo watanzania wapone.
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,163
2,000
Samia mwenyewe haaminiki who told you anaaminika??

She is just playing rock 'n'roll as her predecessor !

Wait until she rig the upcoming general election by unprecedented margin!

We shall revisit!
Sijasema Samia anaaminika ndio maana nashangaa mnataka Samia amuondoa Waziri Gwajima et haaminiki.
 

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,496
2,000
Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.

Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.

Nini kifanyike?

Kwako mwanabodi.....!
Kipimo gani kinakufanya uamin kwamba kuchanja watu ndiyo mafanikio? (Only scientific arguments, or else, just mute)
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
15,069
2,000
Now you are tal

Now you are talking...!!
Wapumbavu wote wanaopiga kelele sasa hivi kuwa hawataki chanjo, soon watachanjwa, wewe ukiwa mmoja wao. Ni suala la muda tu. Magufuli angesikiliza hoja za wataalam pengine angekuwa hai mpaka sasa. Nasikia alikuwa anajitapa eti virus kama Trump na uzee wote aliambukizwa na akapona sembuse yeye! Ilipompata ndiyo ikawa hivyo tena. Ubishi mwingine!
 

donbeny

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
3,588
2,000
Hatuitaki hiyo ya Johnson and Johnson.

Walete Moderna na Pfizer uone kama zitadumu wiki moja.
Pfizer hatuwezi kuihifadhi hapa TZ inataka temperature ya -2C to -38C na vilevile chanjo ni za msaada wa marekani hatuna uchaguzi
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,163
2,000
Wapumbavu wote wanaopiga kelele sasa hivi kuwa hawataki chanjo, soon watachanjwa, wewe ukiwa mmoja wao. Ni suala la muda tu. Magufuli angesikiliza hoja za wataalam pengine angekuwa hai mpaka sasa. Nasikia alikuwa anajitapa eti virus kama Trump na uzee wote aliambukizwa na akapona sembuse yeye! Ilipompata ndiyo ikawa hivyo tena. Ubishi mwingine!
Ni wataalamu gani uliyowasikiliza wewe ambao wamekwambia Magufuli alikufa na corona?
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,163
2,000
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kina Gwajima the porn star!!!
Gwajima ndio mtaalamu wa nini? ndio aliyekwambia Magufuli kafa na corona? Nyie hapa mnasema Magufuli alikuwa hasikilizi wataalamu ila nyie mnafanya vilevile, hapo ulipo huna hata chembe ya ushahidi kuthibitisha hayo madai yako ya kwamba Magufuli kafa kwa corona ila umeshikilia tu hilo suala kama imani kinyume kabisa na wataalamu ambao ndio walikuwa wakimtibu ambao wao wamesema chanzo cha kifo ni matatizo ya moyo ila wewe unakuja hisia zako za chuki na Magufuli unabishia wataalamu unatuambia Magufuli kafa na corona, sasa tukusikilize wewe tusiyekujua hata ni nani au tusikilize wataalamu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom