kama ni kweli ulitumia njia hii kupata ubunge, baasi Mbatia umechemka..

Kuna jamaa mmoja hapa mtaani ambae ni ndugu wa mbatia nilimdadisi kuhusu nduguye kupewa ubunge buuure, wakati ni mpinga sera za ccm, akanijibu kwamba mbatia mara nyingi toka akose ubunge na kufuta kesi aliyoona angeshndwa aliamua kuwa karibu na JK kwa kumpigia simu mara kwa mara kuomba afikiriwe nafasi ya uongozi wa kuteuliwa hasa ubunge. Ili kujitengenezea mazingira mazuri zaidi jamaa akawa ndo mshauri asiye rasmi wa JK na kumpelekea maneno yote kutoka kwa viongozi wengine wa ccm wanaomsema vibaya au kumjulisha juu ya utendaji mbovu wa watu kadhaa.

Ndani ya maongezi yao, tetesi zinasema kwamba Mbatia amekuwa akimwambia JK kiutani "Mh.. Tazama, wenyeviti wenzangu wa vyama vikubwa kama TLP, CHADEMA, UDP ni wabunge kasoro mimi tu.. Naona aibu, nakosa hata confidence ya kuongea, pia sina mahala pa kuongea nijenge chama. Pia tazama ulivyowajali CUF, umewapa urais usaidizi huko zenji.. Mheshimiwa nikonside na mimi, nisipotee kisiasa pia nipate hata huto tuposho"

Haya wadau ni tetesi kuhusu Mbatia. Kwa heshma ya Jamvi nawasilisha.

..mods mambo mengine usiwe unapost humu yanachefua
 
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani ambae ni ndugu wa mbatia nilimdadisi kuhusu nduguye kupewa ubunge buuure, wakati ni mpinga sera za ccm, akanijibu kwamba mbatia mara nyingi toka akose ubunge na kufuta kesi aliyoona angeshndwa aliamua kuwa karibu na JK kwa kumpigia simu mara kwa mara kuomba afikiriwe nafasi ya uongozi wa kuteuliwa hasa ubunge. Ili kujitengenezea mazingira mazuri zaidi jamaa akawa ndo mshauri asiye rasmi wa JK na kumpelekea maneno yote kutoka kwa viongozi wengine wa ccm wanaomsema vibaya au kumjulisha juu ya utendaji mbovu wa watu kadhaa.

Ndani ya maongezi yao, tetesi zinasema kwamba Mbatia amekuwa akimwambia JK kiutani ”Mh.. Tazama, wenyeviti wenzangu wa vyama vikubwa kama TLP, CHADEMA, UDP ni wabunge kasoro mimi tu.. Naona aibu, nakosa hata confidence ya kuongea, pia sina mahala pa kuongea nijenge chama. Pia tazama ulivyowajali CUF, umewapa urais usaidizi huko zenji.. Mheshimiwa nikonside na mimi, nisipotee kisiasa pia nipate hata huto tuposho”

Jamani huyu Kikwete wawatu afanye nini?mbona kila anachofanya kibaya acheni jamani siyo kazi rahisi kiasi hicho kama kuiongoza familia yako tu ya watu wachache kichwa kikakuuma je hiyo nchi? hakuna kazi ngumu duniani kama kuongoza watu bora ukazibue choo kuliko kuwa rais.
 
MMH!! JAMANI kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1947 Rahisi wetu anaweza kuteua wabunge kumi bila kujali wanatoka chama gani katika Inji hii... Mbatia ni Mtangatanga( Mtanzania) mwenzetu kama walivyo akina Jusa Na wengine hata wewe mwenyewe Jamaa amesota saaana hivyo tumwache hata ka- Ubung'ee... akafanye mwendelezo wowote katika kuididimiza Inji yetu hii. Siyo lazima kuteuliwa Watu wa chama cha Majangiliii tu wakati wote ili hali wapo wengine wenye njaa. Naamini CDM wanaona wivu tu maana tungesikia akina KamandaMrema, Kamanda Komu na makamanda wengine je msinge furahi mmh?? Lazima tuuweke Utanganyika mbele kuliko Vyama vyetu.
 
..mods mambo mengine usiwe unapost humu yanachefua
Kweli kabisa mkuu.Moderator wananitisha kwani kuna hoja mabazo hazina mashiko lakini zinaachwa ziendelee.
Leo asubuhi nime post thread ambayo niliamini ingeweza kuchangai na watu wa kada tofauti lakini naona ishatupwa kapuni.
 
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani ambae ni ndugu wa mbatia nilimdadisi kuhusu nduguye kupewa ubunge buuure, wakati ni mpinga sera za ccm, akanijibu kwamba mbatia mara nyingi toka akose ubunge na kufuta kesi aliyoona angeshndwa aliamua kuwa karibu na JK kwa kumpigia simu mara kwa mara kuomba afikiriwe nafasi ya uongozi wa kuteuliwa hasa ubunge. Ili kujitengenezea mazingira mazuri zaidi jamaa akawa ndo mshauri asiye rasmi wa JK na kumpelekea maneno yote kutoka kwa viongozi wengine wa ccm wanaomsema vibaya au kumjulisha juu ya utendaji mbovu wa watu kadhaa.

Ndani ya maongezi yao, tetesi zinasema kwamba Mbatia amekuwa akimwambia JK kiutani ”Mh.. Tazama, wenyeviti wenzangu wa vyama vikubwa kama TLP, CHADEMA, UDP ni wabunge kasoro mimi tu.. Naona aibu, nakosa hata confidence ya kuongea, pia sina mahala pa kuongea nijenge chama. Pia tazama ulivyowajali CUF, umewapa urais usaidizi huko zenji.. Mheshimiwa nikonside na mimi, nisipotee kisiasa pia nipate hata huto tuposho”

Haya wadau ni tetesi kuhusu Mbatia. Kwa heshma ya Jamvi nawasilisha.

maneno ya mkosaji
 
calibre za mtu km huyu wakiona comment nyingi ktkt thread yke anafurah sana.dawa yke ni kumchunia tu huyu.
 
Lazima nikubali kwamba pamoja na kutafakari kwangu kote sikuona sababu yoyote ya msingi kwanini Mbatia ameteuliwa kuwa mbunge.So this might be true hasa nikizingatia tabia ya Kikwete.Yeye utendaji uliotukuka sio kigezo.sana sana ni ushoga na vigezo vingine vya kipuuzi puuzi tu.

Back
Top Bottom