Kama ni kweli Masanja, huu ndiyo mtihani mkubwa unahitaji kuushinda

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,293
3,965
Nimesikia taarifa za kifo cha katibu wa kanisa lako aliyejiua kwa sababu ya kukatishwa katika penzi zito alilopata kutoka kwa mkeo.

Ni huzuni kubwa baada ya ujumbe kama ule kusambazwa maana unafadhaisha sana.

Pole sana Masanja kwani ulikuwa na nafasi ya kufanya mambo ya usaliti zaidi kuliko mkeo lakini ulimpa thamani huyo mama ambayo hakuijali.

Hata hivyo nakusihi sana kwamba uwe na kifua kipana maana ninaona usipokuwa imara, utayumba sana kwenye maisha.

Ni muda wa kuwa karibu na Mungu na kuonesha msamaha kwa neema ya Mungu.

Pole sana mkuu
 
Ila wakuu hawa wanawake waliookoka sio hasa haya makanisa ya kilokole. Kuna mmoja hakuwa mke wa mchungaji ila alikuwa mtu wa ibada sijui ndo shemasi ila aliliwa kirahisi na yeye mwenyewe ndo akawa anapanga uwanja wa kuchezea, kwahyo hata kwa hapo sijashtuka sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom