Kama ni kweli Lissu anaitukana nchi na ashitakiwe tu!

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Jul 27, 2018
152
220
Kama ni kweli TUNDU LISSU anaitukana na kuisema vibaya nchi iliyomkuza na kumlea akirudi ashitakiwe tena kwa kifungo kikubwa.

Kabudi umetumwa kurekodi matusi anayoyatukana LISSU kuhusu nchi yetu TANZANIA naomba uyalete yawe ushahidi ili afungwe tu maana amekosa uzalendo.

Kama ni uchungu wa kupigwa risasi hakupigwa na Tanzania bali alipigwa na watu wasiompenda pengine ni wasukuma au wahaya wala sio watanzania.

Lakini kama LISSU anatukana vitu vingine tofauti na nchi yetu muacheni atukane hadi mawe yaanze kunena kilugha.

HAKIKA kama Kabudi atamshinda LISSU hakika wewe ndo utakuwa shujaa wa CCM kwa miaka ya karibuni na utakuwa na bahati sana kupata CCM yenye watu dhaifu kiasi hiki hadi kushindwa kupambana na mtu mmoja na wewe pekee umeweza.
 
mkuu mbona unakua mgumu kuelewa!? tundu lissu haisemi vibaya nchi yetu wala taifa letu, tundu lissu anusema utawala mbovu usioheshimu misingi ya katiba yetu tuliojiwekea wenyewe! tundu lissu hajawahi kuikebehi wala kuitukana nchi yake , wanaosema anatukana nchi ni watu wanaokerwa na maneno yake na ndio waliotaka kumdedisha!
 
Wewe ndio hujamuelewa mtoa mada

Bongo bado kuna ng'ombe wengi sana
 
mkuu mbona unakua mgumu kuelewa!? tundu lissu haisemi vibaya nchi yetu wala taifa letu, tundu lissu anusema utawala mbovu usioheshimu misingi ya katiba yetu tuliojiwekea wenyewe! tundu lissu hajawahi kuikebehi wala kuitukana nchi yake , wanaosema anatukana nchi ni watu wanaokerwa na maneno yake na ndio waliotaka kumdedisha!
Unawezaje kuutenganisha utawala na nchi na wananchi, au huo utawala umeshuka tu from nowhere
 
Nchi siyo Serikali na Serikali siyo Nchi. hili ni somo la uraia ngazi ya chini kabisa sasa kama na hili linakuwa tatizo kuelewa kuna mtu atawadanganya na kusema CCM ni Serikali kwa hoja kwamba ndiyo iliyoshinda uchaguzi.
 
mkuu mbona unakua mgumu kuelewa!? tundu lissu haisemi vibaya nchi yetu wala taifa letu, tundu lissu anusema utawala mbovu usioheshimu misingi ya katiba yetu tuliojiwekea wenyewe! tundu lissu hajawahi kuikebehi wala kuitukana nchi yake , wanaosema anatukana nchi ni watu wanaokerwa na maneno yake na ndio waliotaka kumdedisha!
kwa hiyo misaada ikifungwa wewe hutokuwemo kwa xbu misaada ni ya serikali tu na huwa haihusu mtanzania kama wewe eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
å KABLA LOWASSA HAJAIHAMA CCM.

" Atakae muunga Mkono LOWASSA akapimwe akili haraka"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA( WAKAT WA KAMPENI)

"LOWASSA ndiye suluhisho la dhuluma na Maendeleo hafifu ya taifa hili tangu Uhuru, chagua LOWASSA chagua CHADEMA"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KURUDU NYUMBANI "CCM".

" Kama kunajambo la maana kubwa LOWASSA ameifanyia CHADEMA ni kuondoka CHADEMA kurudi CCM "
~Peter Msigwa~

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua alikuwa anajua awali ila kuliibua suala la maelezo ya Polisi na uhalisia wa tukio kutofanana kuhusu utekwaji wa Mo ambao ulizungumziwa na tangu awali na ukizingatia mazingira hayohayo yanaonekana tukio la Lissu,ni majibu pekee ya maswali yale magumu ya mazingira tata yatakayoweza kusafisha jeshi la Polisi.Hata Prof.asipokuwa na hoja za kumjibu TL tutaishia kupaza sauti juu huku mioyo ikiwa inaona aibu kuamini mdomo umatamka kile moyo usichokiamini pia kisichofanana na uwezo wa ubongo na vyeti vya elimu vilivyomo makabatini.Ukikaa n'chale ukisimama n'chale
 
Kama utawala wa nchi unaangushwa lakini wananchi wanaendelea kudunda hiyo unaionaje?.
Mtu kuondolewa kwenye nafasi yake ndo maana yake utawala wa nchi kuangushwa? kwa hiyo nchi inabaki kwenye autopilot, siyo?
 
Kama ni kweli TUNDU LISSU anaitukana na kuisema vibaya nchi iliyomkuza na kumlea akirudi ashitakiwe tena kwa kifungo kikubwa.

Kabudi umetumwa kurekodi matusi anayoyatukana LISSU kuhusu nchi yetu TANZANIA naomba uyalete yawe ushahidi ili afungwe tu maana amekosa uzalendo.

Kama ni uchungu wa kupigwa risasi hakupigwa na Tanzania bali alipigwa na watu wasiompenda pengine ni wasukuma au wahaya wala sio watanzania.

Lakini kama LISSU anatukana vitu vingine tofauti na nchi yetu muacheni atukane hadi mawe yaanze kunena kilugha.

HAKIKA kama Kabudi atamshinda LISSU hakika wewe ndo utakuwa shujaa wa CCM kwa miaka ya karibuni na utakuwa na bahati sana kupata CCM yenye watu dhaifu kiasi hiki hadi kushindwa kupambana na mtu mmoja na wewe pekee umeweza.
Anayoyasema Lissu yamefanyika tanzania, Nchi anazitembelea Lissu zina uhusiano na Tanzania Mabalozi wa hizo nchi wapo Tanzania inamaana hawayaoni au kusikia hayo Matukio?Na inawezeka hao mabalozi wamekwisha kuyafikisha kwenye Nchi zao.Sasa ni kipya kipi anachosema Lissu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli TUNDU LISSU anaitukana na kuisema vibaya nchi iliyomkuza na kumlea akirudi ashitakiwe tena kwa kifungo kikubwa.

Kabudi umetumwa kurekodi matusi anayoyatukana LISSU kuhusu nchi yetu TANZANIA naomba uyalete yawe ushahidi ili afungwe tu maana amekosa uzalendo.

Kama ni uchungu wa kupigwa risasi hakupigwa na Tanzania bali alipigwa na watu wasiompenda pengine ni wasukuma au wahaya wala sio watanzania.

Lakini kama LISSU anatukana vitu vingine tofauti na nchi yetu muacheni atukane hadi mawe yaanze kunena kilugha.

HAKIKA kama Kabudi atamshinda LISSU hakika wewe ndo utakuwa shujaa wa CCM kwa miaka ya karibuni na utakuwa na bahati sana kupata CCM yenye watu dhaifu kiasi hiki hadi kushindwa kupambana na mtu mmoja na wewe pekee umeweza.
kwasheria zipi we kiaziwalimumba manina
 
Eti lisu anatukana serikali? nyie watu wa akili za kamuzu Banda mnatia aibu sana, uongozi ni dhamana tuu mtapita tuu Kama wengine tendeni haki mjenge taifa sio kutishia watu Kila siku
 
Back
Top Bottom