Kumbukumbuyatorati
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 152
- 220
Kama ni kweli TUNDU LISSU anaitukana na kuisema vibaya nchi iliyomkuza na kumlea akirudi ashitakiwe tena kwa kifungo kikubwa.
Kabudi umetumwa kurekodi matusi anayoyatukana LISSU kuhusu nchi yetu TANZANIA naomba uyalete yawe ushahidi ili afungwe tu maana amekosa uzalendo.
Kama ni uchungu wa kupigwa risasi hakupigwa na Tanzania bali alipigwa na watu wasiompenda pengine ni wasukuma au wahaya wala sio watanzania.
Lakini kama LISSU anatukana vitu vingine tofauti na nchi yetu muacheni atukane hadi mawe yaanze kunena kilugha.
HAKIKA kama Kabudi atamshinda LISSU hakika wewe ndo utakuwa shujaa wa CCM kwa miaka ya karibuni na utakuwa na bahati sana kupata CCM yenye watu dhaifu kiasi hiki hadi kushindwa kupambana na mtu mmoja na wewe pekee umeweza.