Kama ni kweli hili la DIT, basi watanzania wa kudunduliza wasahau elimu ya juu

Dah ndio raha ya watanzania kuna watu hawajapitia hizi changamoto waona kama mtu kapenda kutolipa kwa wakati ila kwenye maisha kuna kupanga na kumbuka. Nakupa kipindi niko chuo kuna head of department aliwahi sio lazima wote msome. Ubinafsi unatumaliza sana
 
Wewe mbona huweki kila kitu wazi?
Ni nahisi wewe binafsi ndiye mhusika
Ni sawa maana ni mawazo yako siyapingi ila mie nilisoma chuo ambacho tulibanwa ada siku za mitihani peke yake ma registration tulifanya mara moja tu wakati wa kujiunga na chuo,hii ya kila ukianza semester unafanya usajili enzi zetu haikuwa hivyo.
 
Wataalam wa kibongo wengi wao ni kama robots tofauti yao ni kwamba robots mwisho wa siku wanazalisha bidhaa ila wao wanazalisha uhasama. Huuwa hawatumii kichwa hata kidogo. Uki argue nae sana atakwambia usimfundishe kazi. Sasa chuo unakataaje salary slip ya mtu aliyelipa tayari kwenye akaunti yenu.
 
Mmh kwani hata katikati ya sem kuna registration strict hivyo? Si ilikuwa mwanzo wa mwaka tu...asiwaze [HASHTAG]#tunaandamanamioyoni[/HASHTAG]
 
Wanabodi, ni jioni hii nimepitia maeneo ya DIT kumwona mtoto wa rafiki yangu asomaye chuoni hapo akiwa mwaka wa kwanza. Mimemkuta kajiinamia kama anaongea peke yake.

Nilivyomuuliza kulikoni kanijibu nina hati hati ya kurudia mwaka. Nikamuuliza umefeli? Akasema hapana,nmechelewa kumalizia ada ya chuo.

Nikamuuliza,umechelewa au hujalipa? Akaniambia hivi...wakati najoin mwaka jana,nililipa nusu kama ilivyokawaida ya wanachuo tunaokosa mikopo na nusu iliyobaki nmelipa juzi lakini wahasibu wamegoma kupokea bank slip kuwa hadi niende kwa registrar, nmeenda kwa registrar kasema hawezi tena kuruhusu isipokuwa nirudie mwaka! Nikabaki nashangaa.

Hivi mtu amelipa tayari pesa iko ndani ya akaunti ya chuo,anaambiwa arudie mwaka kisa kachelewa kulipa kwa wiki mbili!!! Sio kuwa mwaka umeisha na wala si kama ni wakati wa mitihani kazuiwa hadi alipe bali kachelewa kulipa na sio kwamba hajalipa!

Sasa binafsi nmebaki nimeduwaa, hivi watanzania kwa pesa yetu ya kudunduliza mzazi kajichanga, kanyimwa mkopo amejibana akakamilisha bado tena mtoto anapata frustrations za kurudishwa aanze tena upya!!??

Nimejiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu! Hii ni kumkomoa au kumsaidia? Hii itakuwa ndo kumsaidia mtoto wa mtanzania apate elimu ya juu au wanaotakiwa wasome ni wale watakaopata mikopo na watoto wa matajiri tu?

Kabisa nimekosa majibu na nimeishia kumshauri akamuone mkuu wa chuo labda hajaelewa kilichosemwa maana itakuwa hatari.
Kama wenzao wamewashusha serengeti boys hawa watashindwa????
Wanashindwa kujiongeza kwenye seats zao kwamba muda mwingine kwenye decision making busara pia hutumika
 
Mwambie kesho saa 3 akae hapo katikati ya barabara nje ya chuo kuna msafara wa mkuu wa kaya utapita agome kutoka hadi mkuu wa kaya amsikilize shida zake.... ila mwambie asije mwambia mm ndio nmemwambia akae barabarani
 
Wewe mtoa mada usilete matatizo yako ktk taratibu za Taasisi, DIT haijanza Leo wala Jana.

Kila Chuo kina taratibu zake na sheria zake kwa wanavyuo wake usikiri kila jambo basi huruma yake ni kuliweka JF,na alifanya mchezo atarudia kweli kwako kama atakosa kusajiliwa.

Wewe kama kweli huyo ni mtoto wa Rafiki yako na umemkuta kajiinamia ulitakiwa umake follow up utawala au kwa Registry ili umuokoa na huo ndiyo urafiki.

Kuliko kuja huku JF na kupost
 
Hawa jamaa makalio, niliona haka kausumbufu nikaamua kuwatengenezea software ya ku~automate kila kitu BURE, kuwapa wakasema ati wanaojaza watapoteza ajira kua replaced na computer.. Hehehe nilicheka sana, wabongo kweli kati ya wanne moja kichaa.
 
Una uhakika?
 
EITHER HAWANA ADMINISTRATIVE DISCRETION AMA HAWAJUI ULE USEMI WA 'THERE IS ALWAYS AN EXCEPTION TO THE GENERAL RULE.'
 
Usajili umeisha ndugu na tangazo lilitolewa mapema sana piga hesabu chuo kilifunguliwa tarehe 20/03/2017 walitoa wiki mbili za registration na registration ilifanyika had wikiendi yaan jmos na jpili kama ni tatizo la kifedha angetoa taarifa mapema
Kwa hiyo unaunga mkono utaratibu huu kwa vyuo vyetu vya serikali?
 
Wewe mtoa mada usilete matatizo yako ktk taratibu za Taasisi, DIT haijanza Leo wala Jana.

Kila Chuo kina taratibu zake na sheria zake kwa wanavyuo wake usikiri kila jambo basi huruma yake ni kuliweka JF,na alifanya mchezo atarudia kweli kwako kama atakosa kusajiliwa.

Wewe kama kweli huyo ni mtoto wa Rafiki yako na umemkuta kajiinamia ulitakiwa umake follow up utawala au kwa Registry ili umuokoa na huo ndiyo urafiki.

Kuliko kuja huku JF na kupost
Utakuwa na upungufu upstairs!
 
Usajili umeisha ndugu na tangazo lilitolewa mapema sana piga hesabu chuo kilifunguliwa tarehe 20/03/2017 walitoa wiki mbili za registration na registration ilifanyika had wikiendi yaan jmos na jpili kama ni tatizo la kifedha angetoa taarifa mapema
hivi vyuo vnatofautiana sana vyuo kama udom,nit we utakapopata hela t muda wowote kabla ya mitihan ya end of semister unasajiliwa fresh tu
 
Wanabodi, ni jioni hii nimepitia maeneo ya DIT kumwona mtoto wa rafiki yangu asomaye chuoni hapo akiwa mwaka wa kwanza. Mimemkuta kajiinamia kama anaongea peke yake.

Nilivyomuuliza kulikoni kanijibu nina hati hati ya kurudia mwaka. Nikamuuliza umefeli? Akasema hapana,nmechelewa kumalizia ada ya chuo.

Nikamuuliza,umechelewa au hujalipa? Akaniambia hivi...wakati najoin mwaka jana,nililipa nusu kama ilivyokawaida ya wanachuo tunaokosa mikopo na nusu iliyobaki nmelipa juzi lakini wahasibu wamegoma kupokea bank slip kuwa hadi niende kwa registrar, nmeenda kwa registrar kasema hawezi tena kuruhusu isipokuwa nirudie mwaka! Nikabaki nashangaa.

Hivi mtu amelipa tayari pesa iko ndani ya akaunti ya chuo,anaambiwa arudie mwaka kisa kachelewa kulipa kwa wiki mbili!!! Sio kuwa mwaka umeisha na wala si kama ni wakati wa mitihani kazuiwa hadi alipe bali kachelewa kulipa na sio kwamba hajalipa!

Sasa binafsi nmebaki nimeduwaa, hivi watanzania kwa pesa yetu ya kudunduliza mzazi kajichanga, kanyimwa mkopo amejibana akakamilisha bado tena mtoto anapata frustrations za kurudishwa aanze tena upya!!??

Nimejiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu! Hii ni kumkomoa au kumsaidia? Hii itakuwa ndo kumsaidia mtoto wa mtanzania apate elimu ya juu au wanaotakiwa wasome ni wale watakaopata mikopo na watoto wa matajiri tu?

Kabisa nimekosa majibu na nimeishia kumshauri akamuone mkuu wa chuo labda hajaelewa kilichosemwa maana itakuwa hatari.
Hii issue nadhani ni ya kuomba tuu. Kumbuka kuna kitu kinaitwa DEAD LINE mkuu. Na baada ya hiyo dead line kuna maelekezo ambayo huwa yanatolewa kwa kusaidia hao watu. Lakini lazima tuangalie kwa upande wa pili kwa nini iwe leo au awamu hii tuu ndo mlolongo wa haya mambo kutokea!

Binafsi kwenye hili linaniumiza sana kwani watu ni wengi mno. Naona kwa sasa kila mmoja hasa wafanyakazi wa umma wanasumbua kila mahali hawana upendo tena ni kukomoana tuu na visasi kwenda mbele.
Watu hawana raha tena.

Binafsi hili suala linaniumiza sana kwani kuna rafiki yangu kabisa limemkumba. Mbaya zaidi ndo huwaga mwalimu wangu wa hesabu shida tupu. Hana raha kabisa kutwa nzima kajiinamia tuu. Jana nikaenda angalau kumpa hi lakini hana raha kabisa ikabidi nikamnunulie juisi ya miwa lakini wapi hana raha ikabidi tuende kutembea darajani kule kigamboni lakini hana raha. Yaani mawazo yake ni kweli nirudi mtaani hivi hivi. Mungu Amsaidie.

Jamani DIT management tusaidieni maana watu wana stress mtasababisha watu kupata magonjwa ya moyo jamani.
 
Kwa uelewa wangu hata matokeo ya first semester hawajatoa sasa wanataka kuwaregister hata waliodisco?
Waache kipaji cha ujinga.
Utaratibu ushabadilikaga mkuu kwa sasa una disco kwa mwaka yaani wakichukua GPA ya semester ya kwa kwanza na ya pili wanajumlisha na kugawa kwa 2 ndo GPA Yako. Sasa kama haijafika ndo unadisco. Ila kwa sasa hata kama una F zote unasoma tuu.
 
Usajili umeisha ndugu na tangazo lilitolewa mapema sana piga hesabu chuo kilifunguliwa tarehe 20/03/2017 walitoa wiki mbili za registration na registration ilifanyika had wikiendi yaan jmos na jpili kama ni tatizo la kifedha angetoa taarifa mapema
Hadi sasa hivi sijaelewa kama hapa unamaanisha ni sawa tu mwanafunzi kurudia mwaka kisa ada. Vyuo vingi baada ya huo muda kupita hua wanaweka penati kwa ambaye anakua hajatoa taarifa, na atakayeshindwa kulipa na taarifa hakutoa hua hafukuzwi matokeo yake hushikiliwa mpaka atakapolipa ada.
 
ff02e2c9dbdca7014a0d85df7f73c18ce.jpg
gcy
F
 
Attachments

  • IMG_0222.JPG
    IMG_0222.JPG
    124.7 KB · Views: 11
Back
Top Bottom